Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,893
- 1,623
Pogba ndo kirusi pale. Toto libinafsi sana lile
Bila kumsahau foward wao anaesubiri kutengewa
Pogba ndo kirusi pale. Toto libinafsi sana lile

Kwahiyo mkuu hujacheki game ya Man.Lile pira la leo halijawahi kutokea hapa bongo![]()
Huyu kocha na baadhi ya wachezaji wafukuzwe hawafai
Experience nayo ina matter because maguire na lindelof hawana profile kubwa kwenye suala zima la experience
Umepagawa?Cr7 na pogba wafukuzwe. Kwa upande wa Kocha sioni ka ana shida

katunyamazisha yani kashinda kachange formation na cleansheet juu dadeki anyway tukutane usiku wa champion league.

