Ni Ronaldo yule sio Martial lazima ampe na sababu za kumtoa[emoji23][emoji23] sio unamtoa kienyeji tu.Changamoto ya Ole hana Consistent, Usishangae Mechi Mbili Mfululizo Tukapigwa.
Ukimsifia Tuuu Ujue Ijayo Ana boronga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu alivyo mtoa Ronaldo Mbona Kajielezea Sanaaa, Kasahau hata kama ana Mechi na Ronaldo Kamjibu tuu Sawa.
Solskjaer kakwambia " bro imekwisha hii, pumzika uniokoe UEFA against atalantaNi Ronaldo yule sio Martial lazima ampe na sababu za kumtoa[emoji23][emoji23] sio unamtoa kienyeji tu.
Yawezekana kabisa mashabiki wa Man U tukawa ni wavumilivu sana, lakini si kwa kiwango cha kuukubali huu uongo.Lile pira la leo halijawahi kutokea hapa bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema bruno anampenda CR7 kufa kupona ile mechi ya liver ule msala wa Ronaldo!! bruno aliingilia kati alijitoa bora apigwe yye pale kina Vvd walivyoanza kuliamsha (Uzalendo)Cristiano Ronaldo has scored in each of his last SIX games against Tottenham [emoji146].
#cR7
#G O A T [emoji238]
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 1992664
Bado hajafukuzwa Tu[emoji23]Pipa na mfuniko viliumana leo
Bruno anampenda sanaSema bruno anampenda CR7 kufa kupona ile mechi ya liver ule msala wa Ronaldo!! bruno aliingilia kati alijitoa bora apigwe yye pale kina Vvd walivyoanza kuliamsha (Uzalendo)
Nasema uongo ndugu zangu
Nilikuwa bize na wananchi mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni Ronaldo yule sio Martial lazima ampe na sababu za kumtoa[emoji23][emoji23] sio unamtoa kienyeji tu.
Patamu hapo labda aue mmoja hapo kati kati ya fred au tommy ndo pogba acheze ingawa sidhani kama atacheza mfumo huu kila mechi maana itamaanisha tunacheza bila no 7 wala 11 sasa ndugu sancho na Rashford kuwa wanatokea benchi kila mechi ni utata hawawezi kubali.Kwenye mfumo wa jana, ipi nafasi ya Pogba?