The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Leo vipi cleen sheet ipo??
Duuuh watu hatuna imani na OGS kabsa, yote haya kayataka mwenyeweNani kampangia hiki kikosi?
Tulimwambia hatutaki 4 2 3 1.Nani kampangia hiki kikosi?
Leo Spurs hawana shot on target hata moja.At least tuna clean sheet leo.
Twende na Ole Sendeka 2021 - 2030.Tunaomkubali Ole gonga like hapo chini
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yanga itanipa raha mwaka huu kwa kunyanyua kwapa..Ila wakuu Yanga ya sasa inanipa raha, kama Barca ya Iniesta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaomkubali Ole gonga like hapo chini
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Lile pira la leo halijawahi kutokea hapa bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]