Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Ole leo atashinda ili tuchukie



Ole anang'ata na kupuliza... Akishinda leo anasainishwa miaka mitano....Leo nisione mamluki hapa. Sisi kama United fans tunatoa onyo
Hawa watoto inabidi wale benchi mpaka waelewe maana ya team work!Ukiondoa CR7, Cavani na Bruno hatuna mtu wa maana pale mbele. Tuwalee vizuri Greenwood, Amad na Rashford kama atabadilika na kuacha utoto.
Ole anang'ata na kupuliza... Akishinda leo anasainishwa miaka mitano....
TunashindaaaaaaaaaaView attachment 1992400
Unahasira nayeHivi kwanini huyu Maguire asiuawe??











