Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ichi ndo ki2 pekee mnaweza kupatia ushindi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using motorola 78
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Yaan nimecheka sasa punyeto itasaidia kupitisha magoli kwa Tottenham? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapi Man U? Arsenal anawapa hi.
20211030_162739.jpg
 
Huyo cr7 kaja kuharibu team ilivokua

Kwa sasa tunamuhitaji zaidi cavani kuliko huyo cr7

Cr7 angeenda strong established teams ambazo zipo strong midfield kushuka mpaka defence mf: man city

Cr7 huyu anakuja kujaza overload kwa kina MCfred ambao watu wenyewe ni tia maji

Quality ya wachezaji wetu wengi ni poor kiasi inabidi team icheze kwa umoja ili tupate matokeo hatuna wachezaji wenye extras kuweza kumuaccomodate ronaldo ambae kwa sasa anategemea team imlishe zaidi kuliko kujitafutia

Kuna uwezo wa kucheza 4,4,2 na cavani aka fit fresh hapo mbele na babu cr7

Mzee afu sijui unajikuta guru wa mpira saaana
Embu tulia basi
Mpiraa wa wotee huu
Haukuzaliwa uutolee maoni tu wewe
Cr7 anajua sn
 
Mmekwisha kukata tamaa na timu yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cha muhimu timu iingie uwanjani [emoji23]
 
Leo naomba mpate sare ili sir Ole azidi kuwepo[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom