joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,833
- 39,368
Acha kumtisha Ole sisi majirani tuna uhakika anampiga City.Bado hajafukuzwa tu ...
Au mnasubili man city tuje tuwapige goli 8-0 ...
Kama Liverpool kawala kibogo ,sisi tunawageuza kifo cha mende - mbuzi kagoma kwenda ukuni unazamaaaaa ndani na kupiga golii halali 5-0....
Mimi nakwambia hivi kwa ule uchezaji wenu wa vile ,man city tunawagonga goli 8 1HT ....Acha kumtisha Ole sisi majirani tuna uhakika anampiga City.
Sisi majirani tuna imani na Ole (halafu mwanangu hujui hata kumuuguza mgonjwa..........).Mimi nakwambia hivi kwa ule uchezaji wenu wa vile ,man city tunawagonga goli 8 1HT ....
Mwanzo ilionekana kama walimuuza Lukaku ila baadae source zote za uhakika ziliconfirm ni Lukaku ndio Ameforce Chelsea Move.I think UNITED DNA is WINNING SPIRIT na mbayo siioni sidhani kama DNA ya UNITED ni kununua wachezaji wa miaka 34/36 kitu ambacho makocha waliomtangulia walikifanya wakatukanwa kuna some players hawako comfotable na OGS but ni ngumu kuyasikia haya sababu OGS ni united legend na washkaji zake wake (Neville,Scholes,Rio) wana influence kubwa kwenye media kubwa za UK,i think leo umeanza kusikia baadhi ya issue kuhusu Bailly,Lingard,VDB
I agree issue ya financial kuhusu Inter but Wachina wakati wananunua timu waliwa-promise watatoa hela ya usajili mwanzoni na hawatauza key players (Hakimi,Lukaku,Lautaro,Barella) baada ya kuchukua ubingwa tu wakawageuka na kuamua kuwauza.Sidhani kama United ina tatizo la fedha kama kumbuka OGS ameshatumia Euro450+ na ukija kwenye wages huenda kiasi wanachotumia United kinaweza kuwa hata mara 3 ukicompare na Inter
hana impact yoyote.....mbona alisafiri na timu kwenye fainal ya Europa na bado tukafungwa..........ngojea tukutane na spurs wajue hawajuiSir Alex Ferguson was in the training ground today defending and protecting Solskjaer
Sir Alex Ferguson was in the training ground today defending and protecting Solskjaer
hana impact yoyote.....mbona alisafiri na timu kwenye fainal ya Europa na bado tukafungwa..........ngojea tukutane na spurs wajue hawajui
inavyosemekana fergie, woodward na richard arnold ndio wamekuwa mstari wa mbele kuitetea nafasi ya Ole, si ajabu yeye na mwenyekiti wa zamani wa klabu bwana michael edwards wameamua kuhudhuria mazoezi pengine kwa kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi (kwenye mazungumzo sina uhakika).hana impact yoyote.....mbona alisafiri na timu kwenye fainal ya Europa na bado tukafungwa..........ngojea tukutane na spurs wajue hawajui
Mkuu hamna kitu kitatokeainavyosemekana fergie, woodward na richard arnold ndio wamekuwa mstari wa mbele kuitetea nafasi ya Ole, si ajabu yeye na mwenyekiti wa zamani wa klabu bwana michael edwards wameamua kuhudhuria mazoezi pengine kwa kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi (kwenye mazungumzo sina uhakika).
bila ya shaka wanachokhofia wao huenda kocha ajaye akaharibu structure nzima ya ujengwaji wa taasisi ya manchester united kazi ambayo imefanywa na Ole kwa kiwango fulani kinachoridhisha (tumewezekeza vizuri mpaka kwenye scouting chini yake)
Ole akiwa serious hata wachezaji watarudisha tena morali ya kiuchezaji (wao bado wanaamini wiki mbili zijazo zinaweza kugeuza sura nzima ya klabu kimatokeo na kiuchezaji).
waswahili wanasema bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi.
Ole kabahatika, kazi kwake
hii picha si ya leo : (ed woodward, david gill, ferguson na richard arnold)
Kazi ya Manchester United ni ya kujuana na hili ndiyo tatizo kubwa kwetu, Ferguson kuwa kwenye board na ku influence maamuzi huyu mzee atuachie timu yetu
Huwezi kumpa muda mtu ambaye hana skills
Daemusin msikilize Huyu bibi aliongea maneno hayo Muda sana na haya mambo yanatokea
2019 bibi kaongea kwa uchungu sana tena ukweli mtupu
akileta ubishi wa kijinga ataendelea kuadhibiwa,Mkuu hamna kitu kitatokea
We fala umenifanya nicheke mwenyewe.Mkataba wa ole una miaka mitatu iliyo hai
Nyie wapuuzi wa jf mnaotaka ole aondoke, mna pesa ya kumlipa!!??
Kieran McKenna’s coaching sessions have been likened, by some sources, as more suited to academy football than first-team football.