Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mimi sijui, ila kwa kikosi chetu tunahitaji kocha anayejua ku handle ma superstar. Zidane ana make sense pengine.
Nipo skeptical sana kuhusu Zidane.

Aliangukia kwenye timu yenye mastar baada ya hapo basi.

Kwa Conte as long as Ole anaondoka, tujaribu na Conte. Tumpe miaka miwili ya kumsoma.
 
Hivi DoF aliandaa succession plan au anaenda na kile mashabiki wanataka au wanachukua yule alie available?
Bro kuna laana kubwa naiandaa kwa dof hapa baada ya ole kusepeshwa labda tu achange karata zake vizuri.....

Nina wasiwasi fans ni wakubwa kuzidi dof kama ilivyo kwa sosha timu ni kubwa kushinda yeye

Ngoja tuone
 
Hakucheza haya mengine yatoka wapi?
PSX_20211025_233117.jpg
 
Total control ya usajili anaumwa nini?

Wayne Rooney ni kocha mzuri kulikoni huyu sasa hivi Derby defence kaijenga na hilo ndilo tatizo la Manutd
PSX_20211025_234500.jpg
 
Walimsingizia David Moyes, Louis Van Gaal, Mourhnio sasa Solskier lakini tatizo ni uzembe wa wachezaji. Hawakabi, hupoteza mipira hovyo na golini hutumia nguvu nyingi badala ya maarifa na hivyo kushindwa kufunga.

.
PSX_20211025_234826.jpg
 
Back
Top Bottom