Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi naona Eric Ten Hag ni modern coach anayecheza kwa ujasiri sana kuliko Conte na Zidane
Mimi binafsi Zidane simkubali, ila makocha wa Kidachi pia siwaamini sana especially anayetoka Ajax au PSV na awe hajawahi kufundisha vilabu vingine kwa mafanikio ( hizi timu zinabebwa na ukubwa wa timu zao, ni kama scenario ya Bayern na PSG)

Kwa makocha chipukizi namkubali Graham Porter wa Brighton na yule wa Southampton. Kwa wazoefu Luis Enrique na Conte
 
Tetesi za Potter zipo zamani tu, zidane kwa kikosi chetu inamake sense zaidi sababu tuna wachezaji wake wengi ila Nasikia hata Kingereza Hajui kuongea. Conte ni Conte unless tunabadilika Toka juu na kumpa Support 100% kuna possibility kubwa ikawa Mourinho part 2.

Anyway tuwape nafasi Kina Fletcher na Murtough pengine wanajua mengi tusiyoyajua.
 
Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
 
Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
Ndo mtihani wa kwanza wa Murtough tuone na yeye uwezo wake, yeye kama Dof anatakiwa sasa hivi awe na shortlist tayari na succession plan nzuri kutokana na wachezaji wetu.
 
United walikosea kumpa OGS permanent contract kile kipindi akiwa interim manager kilimtosha Manchester United ni kubwa sana kwake na uwezo wake ni mdogo sana .Alipewa nafasi nzuri sana kutengeneza profile yake kwenye career yake ya ukocha lakini imemshinda

Makocha wa kufundisha United wako na wachezaji wa kucheza United pia wapo.

United inatakiwa kubadilisha structure ya uendeshaji kufanya maamuzi kwa kuzingatia perfomance ya uwanjani na sio kuangalia kwenye upande wa biashara peke yake,haiwezekani Bayern,Ajax,Chelsea,Juventus,City,Liverpool wapate makocha wazuri lakini United ndio wasipate
 
Ndo mtihani wa kwanza wa Murtough tuone na yeye uwezo wake, yeye kama Dof anatakiwa sasa hivi awe na shortlist tayari na succession plan nzuri kutokana na wachezaji wetu.
Ukiangalia makocha wakubwa wenye profiles kubwa ni Conte na Zidane ndiyo hawana kazi lakini ni kama hawaaminiki hivi kwa Manchester United.

Nje ya hao huoni profile ya kuweza kupambana na pressure iliyopo United.

Ole kudumu United kwa misimu mitatu ni kutokana na kutoshambuliwa sana na legends wenzake wamemlinda sana ila imefikia hatua hawana sababu za kumtetea tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…