Tena eleza vizuri Mou alifungwa 3 akiwa hana kikosi cha kueleweka, akina Rio Ferdinand wakawa wanaleta fujo ati Man Man utd imekuwa timu kwa Liver,leo hata siwaoni.Nakumbuka Jose Mourinho alifukuzwa kazi baada kufungwa na Liverpool goli 3, naamini hii itakuwa mechi ya mwisho kwa Ole
Lindelof ni kitasa Sweden, Maquire ni tegemeo England, Ronaldo ni mchezaji bora duniani, Fred piga ua anapata namba pale Brazil, the selecao
Hapo sijamtaja Bruno, Shaw, Pogba, Sancho, Dr. Rashford, Best emerging talent in form of Greenwood n.k.
Ole kubaki kazini ni jinai.
Nimeeleza mkuu, si nimetaja silaha alizonazo OleTena eleza vizuri Mou alifungwa 3 akiwa hana kikosi cha kueleweka, akina Rio Ferdinand wakawa wanaleta fujo ati Man Man utd imekuwa timu kwa Liver,leo hata siwaoni.
Zimetimia na umeme juu. Zinaweza kufika 8Dua langu leo nataka tupigwe tano
Hata chelsea kipindi ipo kwa Lampard walisema ivyo ivyo ila baada ya Tuchel kuchukua wachezaji wote wapo fire,Kuna wanachezaji hawastahili kucheza United
Wan bisssaka
Magwaya
Lindelof
Mctominay
Rashford
Shaw
Fred
Hawa wote hawana hadhi ya kucheza United trust me sio kocha tu mtakuwa mnamwonea hao wachezaje ni averega players kabisa wanastahili kucheza norwish city au stoke city

