Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Plastic fan. Hopeless.
Hakuna cha plastic fan hapa, yani unataka kusema real fan ni kukaa kimya bila kuusema ukweli hata kama team inafanya vibaya? Nani asiyeuona ubovu wa Man U zaidi ya wapumbavu tu?

Haya jamaa hapo juu anakwambia kwenye mikeka yake mingi huwa anaiua Man U kutokana na ubovu wake alafu unamuita Plastic fan, unataka kusema ili awe real fan ilitakiwa awe anaipa tu Man U aliwe hela zake sio? Kama ni kweli alikuwa anaiua unafikiri ni mara ngapi kashinda mikeka yake?

Hauna u-real fan wowote, wewe ni boya tu.
 
Sawa lakini angalau angekua anajitaidi kukabia juu kiasi kama Fernandez ili viungo visiwe na kazi kubwa sana anazubaa sana asipokua na mpira ndio maana kina fred wanachoma sana
Kabla hata ya ujio wake hao kina fred ilikuwa kazi yao kuchoma.
 
United fans celebrating the Ronaldo goal then realising Ole will get a new 5-year contract
IMG_20211021_001951_699.jpg
 
Manchester United reaction in the second half shows why the board decided to give Ole Gunnar Solskjær some time, after poor performances. First half was terrible - but Man Utd want to protect Ole. Now, Liverpool. #MUFC

Man Utd board thinks players are ‘with the manager’.

@manutd|
#GGMU
IMG_20211021_002654_273.jpg
 
Hakuna cha plastic fan hapa, yani unataka kusema real fan ni kukaa kimya bila kuusema ukweli hata kama team inafanya vibaya? Nani asiyeuona ubovu wa Man U zaidi ya wapumbavu tu?

Haya jamaa hapo juu anakwambia kwenye mikeka yake mingi huwa anaiua Man U kutokana na ubovu wake alafu unamuita Plastic fan, unataka kusema ili awe real fan ilitakiwa awe anaipa tu Man U aliwe hela zake sio? Kama ni kweli alikuwa anaiua unafikiri ni mara ngapi kashinda mikeka yake?

Hauna u-real fan wowote, wewe ni boya tu.
Unaumia umepoteza ela au unaumia man u haijafungwa?
 
Back
Top Bottom