Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilimwambia kama kocha ni ole hakuna cha maana hata tumlete messi na ronaldo kwa pamoja.
Ole akil hana..we msikilize leo.baada ya hii comeback atakavojinasibu na sikiliza walio nyuma yake watakavo tetea..yan unaona kbs team hii ni ya amasa lkn kimbinu iko chini sana...leo anapuliza nahis jumapili atangata yan ndo mchezo wa bwana ole na fans wake wengne wanamuona wa maana kbs
 
Sawa lakini angalau angekua anajitaidi kukabia juu kiasi ili viungo visiwe na kazi kubwa ndio maana kina fred wanachoma sana
Hiyo kazi ya kukabia juu mlishampa Mugalu na nadhani anatosha, Ronaldo hawezi kubali kusifiwa kwa huo ujinga yeye ni goal machine tangu utoto wake

Kazi kubwa ya mshambuliaji ni kuhakikisha atleast kila nafasi ya shambulizi inapotokea izae matunda.
 
Mimi Pia.

OLE Hii timu sio Familia yake kusema atung'ang'anie kiasi hiki tuna wachezaji wazuri ila tumebaki wakushinda kimazabe inakera sana.
Mimi hata Man U ikifungwa, akifunga Ronaldo huwa najisikia amani.Namaanisha hata kama team imepoteza, kuwepo tu goli lake nafurahi.


Ila kama kweli Ole anaipenda Man U ,kwanini asifikirie hata kujiuzulu?
 
Back on TOP
IMG_20211020_235428_857.JPG
 
. Daah sawa mkuu ila man u Fernandes mtu tuache mahaba hapa
Mkuu hulu jf kuliwahi kuzuka utetezi juu ya tatizo la kutokufunga kwa Mugalu, watu wakawa wanasema eti "Mugalu ni mzuri anakabia juu anawa-hold mabeki" nikawa nawaona wapumbavu kweli, yani usajili mshambuliaji kwaajili ya kukaba mabeki? 😂😂😂

Ndomaana ulivyoleta hiyo hoja ikabidi niruke na wewe mazima😂😂
 
Back
Top Bottom