Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daemusin Chief Mkwawa nafikiri hoja zangu namba 5 na 6 zimeanza kutupa majibu mapema sana.

Pamoja na mapungufu yetu ya kocha na kukosa muunganiko wa maana Ronaldo kwenye kikosi chetu ni tatizo la tatu.

Nimeacha rasmi kuangalia match za Man United toka game ya Leceister City.

Kama Chusa alishaacha kuangalia mimi ni nani ???
😔😔😔
 
When you ask Ole what did you learn when you were working under Sir Alex
IMG_20211020_232036_949.jpg
 
Kuna binadamu humu aliwahi kusema tukimleta Sancho tatizo la winger litakuwa limekwisha na kombe tunabeba.
Namkumbuka hata mm..tena akajinasibu kua shida ni Winger iyo...lkn leo hii Kocha alivo akil ndogo anaenda kuua kbs kiwango cha Sancho..yan Nikumuangalia DVB nataman kulia nikiona Ajax yake ilivo ya moto na yy hayupo i just wish angekua bado ajax team yao ingeenda mbl tena...Yan Wanaodhan Ole ana akil timamu ya mpr sijui wanaangalia mpr gn...Ole ni mzee wa kungata na kupuliza ana buy time na wapumbav wanafiki wanaomuweka ni class ya 92 hao ndo wajinga no.1...Man u wana safar ndef sana vichapo vitawahusu ving na huu ni mwanzo..sisi wa team mpinzan raha sana wafungwe
 
RASHIDI aache kimbelembele,fans wanataka wafungwe ili Sendeka aondoke,ye anafunga ili iweje sasa....OLE SIYO GAIDI! OLE SIYO GAIDI! APEWE MUDA ZAIDI.
 
Namkumbuka hata mm..tena akajinasibu kua shida ni Winger iyo...lkn leo hii Kocha alivo akil ndogo anaenda kuua kbs kiwango cha Sancho..yan Nikumuangalia DVB nataman kulia nikiona Ajax yake ilivo ya moto na yy hayupo i just wish angekua bado ajax team yao ingeenda mbl tena...Yan Wanaodhan Ole ana akil timamu ya mpr sijui wanaangalia mpr gn...Ole ni mzee wa kungata na kupuliza ana buy time na wapumbav wanafiki wanaomuweka ni class ya 92 hao ndo wajinga no.1...Man u wana safar ndef sana vichapo vitawahusu ving na huu ni mwanzo..sisi wa team mpinzan raha sana wafungwe
Nilimwambia kama kocha ni ole hakuna cha maana hata tumlete messi na ronaldo kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom