Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Hamna timu pale weweKwani viongozi hawaoni kwamba hii timu haiko fit physically? Wachezaji inaonesha hawapewi mazoezi yanayotakiwa ila tuna timu kali sana.
Leo pia anamwachia mtu anapita tuMaguire hata akiwa fit zile blanda huwa anafanya sana wala tusijifiche hapa kwenye kichaka cha kutoka kwenye ugonjwa ndio sababu ya zile blanda......
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ole aendelee kuwepo tu...apewe muda mrefu zaidi.Kesho tutaamka hatuna kocha.
Punguza jazba mkuu, timu ipo kocha ndo hamna.Hamna timu pale wewe


Hata mimi nimeshangaaOle inabidi atambue kuna tofauti ya kuwa patience na plan zako na plan kuonekana kufeli, huyu jamaa plan zake zimefeli na hataki kukubali ukweli kuwa zimefeli hazifanyi kazi maana hakuna sababu ya kuchezesha Macfred kama kufungwa kuko palepale sasa analinda nini.
Hamna timu palePunguza jazba mkuu, timu ipo kocha ndo hamna.
Labda wanasikiliza ushauri wa FergieBoard ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!
Huyu kocha hii mentality aliyonayo hawezi kupata mafanikio katika kazi hii ya ukocha, eti timu ishapigwa mbili wachezaji wanakosa magoli ya wazi yeye anaenda half time akipiga makofi.
Hiyo ni timu ya kwenye makaratasi tu.Punguza jazba mkuu, timu ipo kocha ndo hamna.

Board ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!

