Akifunga linakua goli au sio goliUnamsajili mchezaji wa miaka 36 unategemea akusaidie kufanya pressing ?? Mchezaji mwenyewe ni CR7
Timu nzimu inacheza kama wachezaji wamekutana mara ya kwanza hawajawahi ku-train pamoja mpaka leo tuna matatizo kwenye idara zote defence,midfield na striker
Uwezo wa OGS kufundisha ni mdogo sana na hilo halijaanza kuonekana jana ni almost miaka 4 now anafundisha timu na siku zote tunasema tunatukanwa hapa na most players aliowanunua amwshindwa kuwatumia .I think only Bruno na Cavani ndio wamefanya vizuri so far (Bissaka,Maguire,James,Ighalo ) hawajaleta positive impact Telles,VDB nao ameshindwa kuwatumia kabisa
Kila nikiingia kwenye huu uzi huwa nategemea habari flani hivi lkn bado kimyaa, daahhh wanatukosea sn.
Timu kocha bhn asikuambie mtu, mifano hai ipo mingi, hata hapa bongo tazama Yanga ya Kaze na ile ya yule mzungu ni tofauti kabisa japo wachezaji walikuwa wale wale.Kwamba OLE SUCKED![]()
Nakuunga mkono kaka, kwani nae ana familia ina mtegemea.Tumpe muda Ole ..ni kichwa Sana yule jamaa
Nyie Man Shityee ni matakataka tu hamuna timu mule.Hamna uwezo wa kuchukua point 3 mbele ya Liverpool Wala city ...
Kwa uchezaji upi mlionao ,yaan dakika 90 mchukue point 3 mbele ya Liverpool na city aiseee.....
Ushindi wenu itakuwa draw ,na huo ni ushindi mkubwa Sana .....
Kila akitingishwa na kuambiwa ukweli , huwa anakimbilia kusema Club inamuamini.Solskjær: "I've got my values as long as [the] club believes in me. Jamie Carragher's opinion is not going to change that." #mulive
Ole needs to be humbled.
United wanamtaka zidaneHapa tayari Chelsea ana tuzidi pointi 5, aisee View attachment 1979966
Wewe level zako ni Brighton , crystal palace , Newcastle ..,Hapa tayari Chelsea ana tuzidi pointi 5, aisee View attachment 1979966




Wewe Chelsea una Nini kenge weweNyie Man Shityee ni matakataka tu hamuna timu mule.




Wewe level zako ni Brighton , crystal palace , Newcastle ..,
Kwa Sasa huwezi kaaa meza moja na Brentford![]()

wallahi Dunia hii.