Ninachoona sio kwamba board inaona kitu cha kipekee kwa Ole ila wanajisafisha mbele ya Mashabiki ili mashabiki tuone jinsi legends wetu wasivyotutakia memaBoard ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!
Errors hazina uhusiano na game fitness aise,Maguire bado sana.Ronaldo na Maguire kwenye mechi ya Leceister ndiyo waliotucost.
Ronaldo alikuwa hafanyi pressing na alipoanza kufanya pressing ni kama akafungua passing lanes za uwanja mzima Leceister wakawatawala Pogba na Matic.
Maguire hakuwa na game fitness so ni kama tulikuwa pungufu uwanjani alifanya two individual errors tukafungwa goli la kwanza na goli la nne.
Kibiashara haijakaa sawa.Ila kimsingi Ole ametutoa point C kwenda point B na uwezo wake umeishia point B.Ninachoona sio kwamba board inaona kitu cha kipekee kwa Ole ila wanajisafisha mbele ya Mashabiki ili mashabiki tuone jinsi legends wetu wasivyotutakia mema
Hamna uwezo wa kuchukua point 3 mbele ya Liverpool Wala city ...Board ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!
Kwanguu Mimi Man UTD hii Ndo shidaa.Yani hawajui kukabaa.Kama wanafata Mpira ivijaribu kuangalia kwa umakini hizi picha, angalia off the ball setup yetu
Kwa Liverpool ata draw Kwa man city anawinBoard ya united bado inamsapoti Ole ila imemtaka aboreshe kiwango cha ucbezaji pamoja na matokeo mazuri.
My take.
Ikitokea Ole akashinda mechi za Liverpool na man city basi tunaye sana tu.
Sijui hawa jamaa wanaona nini ndani ya Ole ambacho sisi tumeshindwa kukiona ndani ya miaka 3 ya Ole!
Haweziii kufungwa zotee. Kama kushinda Ingekuwa ni kikosi basi psg,Los Blancos wasingekuwa Wana poteteza mbele ya kikosi wanacho fungwaHamna uwezo wa kuchukua point 3 mbele ya Liverpool Wala city ...
Kwa uchezaji upi mlionao ,yaan dakika 90 mchukue point 3 mbele ya Liverpool na city aiseee.....
Ushindi wenu itakuwa draw ,na huo ni ushindi mkubwa Sana .....
Anayesema yale makosa ya Maguire ni kwa sababu ya game fitness sijui anawaza nini.. lile goal la kusawazisha, hvi kweli unamuona adui yako yupo kilometa kadhaa karibu yako, Vardy kashamblock De Gea kurudishiwa mpira we umesimama unasubiri mpira ukufikie, hata madogo kina Kennedy Juma na Dickson Job hawafanyi vile mara mia wakaubutua mbele potelea poteErrors hazina uhusiano na game fitness aise,Maguire bado sana.
Yale sio makosa ya game fitness, yale makosa ya kitoto sana kaka.Ronaldo na Maguire kwenye mechi ya Leceister ndiyo waliotucost.
Ronaldo alikuwa hafanyi pressing na alipoanza kufanya pressing ni kama akafungua passing lanes za uwanja mzima Leceister wakawatawala Pogba na Matic.
Maguire hakuwa na game fitness so ni kama tulikuwa pungufu uwanjani alifanya two individual errors tukafungwa goli la kwanza na goli la nne.
Kwa kile kituko cha jamaa kusubiri mpira aibu niliona mimi aise alafu eti ni captain.Anayesema yale makosa ya Maguire ni kwa sababu ya game fitness sijui anawaza nini.. lile goal la kusawazisha, hvi kweli unamuona adui yako yupo kilometa kadhaa karibu yako, Vardy kashamblock De Gea kurudishiwa mpira we umesimama unasubiri mpira ukufikie, hata madogo kina Kennedy Juma na Dickson Job hawafanyi vile mara mia wakaubutua mbele potelea pote
He doesn't deserve to be captain hata stoke cityKwa kile kituko cha jamaa kusubiri mpira aibu niliona mimi aise alafu eti ni captain.
Naona mnajipangia matokeo mapema .....Kwa Liverpool ata draw Kwa man city anawin
Utawauwa aiseee...waonee huruma kidogo, please.Naona mnajipangia matokeo mapema .....
Ole anadraw kwa Liverpool ,Mimi siwezi kubisha coz uwanjani ni wanaume 11 against wanaume 11 ,but united ya Sasa haina muunganiko wa kuweza kufunga na kumantain win kwa timu Kama city au Liverpool .....
Sisi man city tunawagonga goli 5 na ole atafukuzwa kazi siku hiyo hiyoo maana takauwa ametoka kula kipigo kwa Spurs .......
Muda hio mtakuwa nafasi ya 10 kwenye PL table
Keep watching
Unamsajili mchezaji wa miaka 36 unategemea akusaidie kufanya pressing ?? Mchezaji mwenyewe ni CR7Ronaldo na Maguire kwenye mechi ya Leceister ndiyo waliotucost.
Ronaldo alikuwa hafanyi pressing na alipoanza kufanya pressing ni kama akafungua passing lanes za uwanja mzima Leceister wakawatawala Pogba na Matic.
Maguire hakuwa na game fitness so ni kama tulikuwa pungufu uwanjani alifanya two individual errors tukafungwa goli la kwanza na goli la nne.
Hayo unayo yasema ni matamanio kuwa yawe hivyo.Lakini nakwambia hayatakuwa ivyo Kama unavyo tamani.Naona mnajipangia matokeo mapema .....
Ole anadraw kwa Liverpool ,Mimi siwezi kubisha coz uwanjani ni wanaume 11 against wanaume 11 ,but united ya Sasa haina muunganiko wa kuweza kufunga na kumantain win kwa timu Kama city au Liverpool .....
Sisi man city tunawagonga goli 5 na ole atafukuzwa kazi siku hiyo hiyoo maana takauwa ametoka kula kipigo kwa Spurs .......
Muda hio mtakuwa nafasi ya 10 kwenye PL table
Keep watching
Matamanio yake hayo.Utawauwa aiseee...waonee huruma kidogo, please.
Endelea kuaangalia mpira livescore mkuuHayo unayo yasema ni matamanio kuwa yawe hivyo.Lakini nakwambia hayatakuwa ivyo Kama unavyo tamani.