Manchester United (Red Devils) | Special Thread

This Ole, kuna baadhi wanadhani hili tatizo limeanza hivi karibuni, na nimeona tayari kuna watu wanataka kumzingizia Ronaldo etu kafrustrate development curve.

Mkumbuke Ole alipokuja tu alianza story za kutaka kurudisha enzi za fergie, eti enzi za fergie man u ilikuwa ina attack attack attack, alikuwa kwenye hotuba zake lazima amtahe ferggie, nadhani hapo katikati watu walimstua kwamba anazingua akaacha.

Majuzi tena,timu ilipokuwa inasawazisha ama kupata ushindi dakika za mwisho mwisho, akaanza kudai ooh fergie time are back etc etc, akastuliwa tena akaacha.

sasa huyu kocha ni kwamba hajitambui, yaani hana personal identity, hana self ambitions, he is so much in the old fergie days hata anashindwa kutambua kwamba kwa hali ilivyo sasa hata fergie angekuwapo angekuwa challenged vibaya sana na hawa akina klopp, achilia mbali kwamba Morinyo mwenyewe alimkarakasha kwelikweli fergie.

hivyo huyu bwana, tatizo halianzii kwenye technical know how, I can imagine anawaambia wachezaji wake, say Ronaldo nataka uwe shapu kama kipindi kile mko na rooney, hivi wachezaji wengine wanajisikiaje? sababu huyu mjinga namna akili zake zimeishia kwenye historia ya ferggie vile hamsemisemi nadhani anajizuia tu kwenye media ila akiwa na wachezaji wake huyu mtu anaonekana ni mtu anakatisha tamaa sana wachezaji wake.
 
Wote hatumtaki Ole saiv.....
Ila sidhani kama ipo hivi.
 
Utabiri wangu unazidi kutimia niliwaambia nyinyi manjesta mwezi huu mnapigwa game karibu zote mkikaza sana mnaweza kubahatisha game mbili, pepo mwe_kunduuu ni dhaifu Sana ...ovaaaaaa
 
Mpaka sasa Man u hajakutana na Chelsea, Liverpool, Man City, Tot ham na Arsenal.
Kwa Liverpool lazima packet mbili za dume zitumike

Man city atamuweka za kutosha

Spurs atajilia tunda kimasihara

Sasa Bora akutane na wote sio arsenal hii dimba anashika partey na xhaka
Wanapelekewa moto dakika 90
 
Kipii bora,kufanya vizuri mwanzo na kumaliza vibayaa mwishoni Au kufanya vibaya Mwanzo na kumaliza vizuri mwishoni!
 
Ndugu, hii ni imani au scientific? Ole afukuzwe aje kocha mwingine ili timu ijengwe ktk mfumo wa uchezaji unaoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yatakaa Sawa TU,Hata yeye anaumiza Kichwa Kwa jinsi anavyo fanya vibayaa Kwa Sasa,Lazima anajiuliza anakosea wapi na Kwa mechi zinazo kuja Nina Imani atafanya improvement kutokana na makosa aliyo yaona,Maana Timu inapofungwa na yeye anaona na kunote kakosea wapi mpaka kufungwa.Wanaosema atafungwa mechi 6 mfululizo kuanzia Kwa Atalanta,sidhani. Kuna mechi atawin,atadraw na akilose ni chache Lakini Siyo sita.


Kuhusu kufukuzwa,juzi TU ndo kaongezewa mkataba mpya wa miaka mitatu na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.Kama kawaida mkataba ukivunjwa kabla ya muda wa kocha Timu inapoteza Hela nyingi za kuvunja mkataba wake.
 
Ronaldo anahitaji support kubwa umri umeshamweka kando limebaki jina.
Akiwa ureno anapiga magoli kila siku.

Pamoja na umri mkubwa, mara nyingi striker hawana majukumu makubwa ya kukaba.

Wao ni kutengeneza nafasi na kucheka na nyavu.

Sioni pa kumlaumu ronaldo hapo. Ni uzembe wa kocha kumtengeneza.
 
Kwa hiyo man utd atafanya vizuri mwishon
Sijasema atafanya vizuri mwishoni.Ila UkwEli ndo huo.kufanya vibayaa mwanzooni ni vizuri zaidi kuliko kufanya kufanya vizuri mwanzoni na kuishia kuanguka.Maana yangu ni kwamba Kwa sababu Timu inafanya vibayaa Kwa Sasa na ukiangalia imefanya usajiri mkubwa msimu huu,Kocha ana presha na hiyo presha ndo itafanya kujiuliza shida ni Nini ya kufanya vibayaa,Means Yale makosa anayo hisi ndo chanzo Cha kufanya vibayaa atayashughulikia na mambo yataenda Sawa.
 
Pundits wa kingereza ni watupu vichwani.

Sielewi kwanini watu huwa wanawasikiliza.

Waingereza hawajui mpira.
 
Ronaldo collapsed Ole's rebuild, United imekuwa na Ronaldo na Pogba wachezaji wawili walio free na wanaleta ugumu kwa ole kuimpliment his system, unaweza kuona namna Leicester alivyoattack kirahisi leo, sijui against Liverpool ya Salah itakuaje!
Manchester utd ingekuwa inakaba kama Brighton,Ingekuwa mbali.Tatizo wanakaba Kwa kukimbia golini kwao na si kukaba Ili kupunguza mashambulizi kwenye goli lao,Yani wanakaba mtuu Ili atoe pasi na Siyo Kwa lengo la kupokonya mpira kutoka Kwa adui.Ndo maana unakuta Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira ikinyanganywa TU inashambuliwa mpaka golini hapo ndo Kona zinatengenezwa na mabeki wa utd,faulo na penati.Kitu ambacho ni danger Kwa Timu kuruhusu mashambulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…