Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale unapopata taarifa nzuri kwamba OLE SOKSI Bado yupo sana.
20211016_225645.jpeg
 
Maguire jana kafanya mazoezi ya ushindani kwa mara ya kwanza na wenzie Ole mwenyewe alithibitisha jana kwenye press alafu leo amecheza....

Ole anategemea experience ya wachezaji wenyewe imbebe.....

Hamna press amewahi kuzungumza mambo ya tactics iwe baada ya game au kabla ya game hajawahi kabisa yeye utasikia ile ilikuwa penalty tumenyimwa mara goli tulilofungwa lilikuwa offside etc.......

fatilia press za makocha wengine unaona kocha anafunguka wamefungwa sababu wamejaribu formation mpya ili kuziba pengo la mchezaji fulani....

Ila sio sisi mara the boys did well, Aston villa player wjo scored was in an offside position, looking to the next game na blah blah nyingine
Bila kusahau upuuzi wa DNA utadhani mwanasayansi.
 
nimenusa harufu ya vita kati ya baba na mtoto, tukumbuke paul hajasaini kandarasi mpya.
isije ikawa kauli ya labile ndio mtazamo wa wachezaji walio wengi, kama ni hivyo Ole atakatwa kichwa chake kabla ya december
View attachment 1976661
View attachment 1976663
Msimu uliopita tulipofungwa goli Sita na Tottenham jamaa alishinda mechi mfululizo mpaka mwezi January huku alipoanza kurelax tena ndipo Man city wakatupita.
 
nimenusa harufu ya vita kati ya baba na mtoto, tukumbuke paul hajasaini kandarasi mpya.
isije ikawa kauli ya labile ndio mtazamo wa wachezaji walio wengi, kama ni hivyo Ole atakatwa kichwa chake kabla ya december
View attachment 1976661
View attachment 1976663
Mkuu ukipata muda fuatilia uchambuzi wa Steve Macmanaman na Andy Townsend kuhusu.

Kuwa na Laissez faire Manager huwezi kufika popote aisee.
 
Kweli, mi natamani aondoke akapate timu ya kiwango chake. Haiwezekani mtu acheze vizuri akiwa timu ya taifa ambayo anakutana na mafundi wenzake na akicheza vibaya kwenye hili litimu letu libovu tumuone eti yeye ndiyo ni mbovu?
Pogba anaonewa tu hii timu haina system of play inayoeleweka.

Ni kama mazoezini huwa wanaenda kufanya mazoezi ya kukata upepo tu.
 
Leo nmejua kua kumbe nina kipawa ndani yangu Nchangie nauli wadau nifike jijini Manchester nkamuue kocha ili iwe faida kwa sisi wote duniani
 
sista sista - crayz Gk ft pauline zogo

dedication to all nyumbus fans

Sent using motorola 78
 
Back
Top Bottom