Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnachopitia manure ndio tulipitia sisi Chelsea second coming ya mou pale darajani

Alikuwa anafanya tu bora liende akili take ikiwa United .

Alipewa mikoba United akawachachafya mkamtimua
Bora mourhinho alitupa na kikombe cha uefa ndogo
 
✓Ole ameshindwa kumfit Pogba kwenye kikosi chetu..kwenye 433 ameshindwa kwenye 4231 napo ameshindwa..kazi kumhamisha tu kutoka CM to LW...At this point Pogba ni mzigo tu kikosini..he is only good in his days,lakini inconsitency aliyonayo ni something else..Kama United hawana mpango wa kumfuta kazi Ole basi naona ni heri Pogba akauzwa.

✓7 matches lakini tumeshakata tamaa..why??...Sababu ni kuwa tumecheza mechi zote hovyo ukiacha game moja tu ya Leeds and let's not forget kuwa tumefungwa na Westham,YoungBoys na kushinda kimazabe vs Villarreal kwenye mashindano mengine..Tumesajili 3 world class players lakini tumeendelea kuwa hovyo kuliko kawaida..kisingizio kikiwa ni DM,this is not enough,Ole na benchi lake la ufundi ni tatizo kubwa.

✓Kikosi chetu kina potential goal scorers wengi kuliko kikosi chochote pale Uingereza lakini angalia tunavyoshindwa kupata ushindi convicingly..Cavani,Ronaldo,Greenwood,Rashford,Sancho,Martial.

✓Ole amefanya kazi nzuri sana kwenye usajili..lakini sioni akiweza kutupa mafanikio,ni bora tumtoe ili kikosi hiki kisiondoke trophyless..

✓Mechi saba zijazo za ligi zitakuwa za kuumaliza msimu wetu,ambao mimi binafsi naamini ushaisha tupambanie nafasi ya nne kwani City,Chelsea,Liverpool wameonyesha wao ndo watachukua zile nafasi za juu..let's just wait and see..tumeshindwa kuchukua 21 points kutoka kwa timu ambazo uwezo wa kuzifunga upo mkubwa sana,sasa sitegemei sisi kufanya lolote la maana kwenye the upcoming EPL fixture..kimsingi mimi nasema the 2021/2022 season has reached to an end..tupambanie tu UCL spot.
 
Mechi kama 5 zijazo lazima tudondoshe point si chini ya 12
 
Hata mim nina mtazamo huu, hapa tupambanie top4 tu, Ole hana uwezo wa kutupeleka nchi ya ahadi, never ever

Ni average kocha, alipaswa kufundisha kina Fulham, Westbronwich, sio mzigo mzito aliopewa

Laiti Luis Vangal angevumiliwa hivi, i belive tungekua na timu ya kuogopwa baran ulaya

Leo hata ukiniuliza style ya man utd kiuchezaji, sina jibu ila ukiniuliza liverpool, chelsea, city natoa jibu
 
Ole ni wakutimuliwa.
 
Kumbe game inayokuja mnacheza na lecister city .....

Ohooooo yesu na mariaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hizi ndio game zenu epl the coming fixture ,huenda watu hawajui ...

Lecister city Vs man utd

Man utd VS Liverpool

Spurs Vs man utd

Man utd Vs Man City ...

Hapo ole akichukua point 5 Basi atakuwa mwamba ,na mmpe mkataba mpya
 
Kuweni na shukrani nyie mashabiki, anaeongoza ligi ana points 16 nyie mna 14 yaani tofauti ya 2 points ndio kelele hivi?
Anayeongoza ligi timu alizocheza nazo ingekuwa sisi United tungekuwa chini zaidi hata hizo 14 tusingefikisha..
 
Ligi imejaa makocha mafundi watupu

Ole sendeka ni average manager
Kweli kabisa mkuu, hata Leeds wana kocha mkali na ukitaka uamini mkabidhi Bielsa United halafu Ole mpe Leeds halafu zikutane uwanjani,, hahahahahah United tunahasara sana.
 
Hizi ndio game zenu epl the coming fixture ,huenda watu hawajui ...

Lecister city Vs man utd

Man utd VS Liverpool

Spurs Vs man utd

Man utd Vs Man City ...

Hapo ole akichukua point 5 Basi atakuwa mwamba ,na mmpe mkataba mpya
Yaani kwamba sisi wenye timu yetu tusijue wewe jirani ndio utujuze?
 
Aiseee nipo hapa getini na haka ka carry kangu naenda huko west ham kushabikia maana naona wapowapo na mpira mtamu nakaa wiki mbili pale nahamia newcastle sasa ambaye anataka kwenda na mimi aje twende tu

Ntarudi ole akiondoka maana nusu nipasue tv hapa juzijuzi tu
 
Alifunga na kutoa pasi ya goli, kubwa zaidi workrate yake ni kubwa sana na iliwasaidia sana wales kuwadominate Czech
United ni vichaa tu, Ole na bench lake la ufundi linadumaza viwango vya wachezaji wanaonekana ni average players tu. James alipaswa kutolewa kwa mkopo na siyo kuuzwa mazima kwa mkataba usio hata na buy-back clause.

Ila James hana bahati maana kuuzwa kwake bila shaka ilikuwa ni kwaajili ya maslahi ya timu kibiashara waweze kuipata namba 7 kwaajili ya Ronaldo ila watu wa kuuza wa kwanza ni Martial.
 
walichokifanya ni sawa na kuuza bunduki unabaki na risasi sasa sijui utazitumiaje.
 
Back
Top Bottom