Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tutakapotoka kwenye international break, kuanzia tarehe 16 mwezi huu mpaka tarehe 30 nov club yetu pendwa itakwenda kupitia kwenye kipindi kigumu katika historia ya club yetu hasa kutokana na muenendo wa timu yetu kupata matokeo ya kubahatisha bahatisha unaosababishwa na mapungufu makubwa ya kiufundi kutoka kwenye idala ya coaching.

Ni maombi yangu, management na board ya club viweke options madhubuti za kimaaamuzi iwapo hofu hii itakuwa dhahiri,
 
Yule mmasai hapo ndipo anapojichukuliaga credit mkuu.
 
Ufala wa Ole unakujaga sehemu moja tu, Chelsea alipofungwa na lenyewe likakubali kupigwa palepale OT. Leo Liverpool na City wamedroo na lenyewe jana limechekelea droo.

Nakumbuka ule msimu tunapambania top 4 ilikuwa bahati tu ila ilikuwa mambo hayahaya nafasi zinapotokea kupiga gape sisi ndiyo hatukazi matokeo yake ukikutana na hao wakubwa ukifungwa inakuwa ngumu kupunguza mlima wa points.

#OleOut
 
Back
Top Bottom