Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Bora aende tu maana Ole mzinguaji tu.
Huyo jamaa anatakiwa aende Arsenal maana pale atapata namba ya uhakika
In swahiliThere is light at the end of the tunnel.
The Grazer wameweka sokoni 9% ya shares zao man Utd, they want to reduce their exposure to the club.
these kind of ownership decisions normally coincides with some tough OPTIONS on business decisions.
Bado hajafukuzwa tuMzee Fergie naye kamtumia ujumbe Sosha kwa alivyokuwa anaongea na Usain Bolt..
Solskjaer kazi anayo..
Man U wakiendelea kumng'ang'ania OLE wanaondoka top four.Warabu wamechukua timu Tena , Newcastle inakuja kuchallenge top 4 ....
Hapa itabidi mtu mmoja aipishe Newcastle ...
Chelsea
Liverpool
Man City
Man utd
Newcastle the coming monster in epl ....
Hata magufuri mambo mazuri yanakuja yukwapi.Hakuna haja ya kuleta ushindani usio na sababu ,sisi kama mashabiki wa man u original , tuko bega kwa bega na OLE ,tunamwamini ,tutamlinda ,mazuri yanakuja .
Mnachopitia manure ndio tulipitia sisi Chelsea second coming ya mou pale darajaniDah yani sidhani kama ndaenda saizi hata kufuatilia hii timu maana ni presha tu kila mechi goal yani hatuna cleenshet hata 1 yani.


Ole anafaa Sana pale unyumbuniHaya nyie mnaomtaka CONTE sijui ZIDANE.. hawa wapo kwenye list ya makocha wa kuifundisha Newcastle.
OLE mitano tena!![]()
....