Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Ole Out..
Hii #Campaign ingeendelea labda jamaa angejistukia akastepdown mwenyew...tatizo bodi yenu inaonekana inamkingia kifua, Duh!...
Ole Out..
Hatari hii
Mchekini hii takataka kitu iloandika wewe kuku umeshindwa ndo hii takataka itaweza?Mkimkamata chelsea mumpige hadi achakae
Huyu jamaa ni nani kwani.
muulize Connor Mc gregor anamjua vizuri huyu jamaa hahahaha.......ni mpiganaji wa MMAHuyu jamaa ni nani kwani.
Hahahahaha sijui fans huko twitter na instagram wamepokeaje hizi taarifa.....hali inatoka bad kwenda worse.
Mkuu huyu lick lambert umemg'ang'ania kinomaWakuu... Suala la kumchukua yohane Cabaye asaidiane na fredi mafegi pale kati limekaaje?
Mbele pale tunahitaji mtunguaji kama rick lambert.






Mkuu huyu lick lambert umemg'ang'ania kinoma![]()
ndo huyu jamaa ila kwa sasa nasiki kesha staafu.
Huyu jamaa ni nani kwani.
Unless he comes up some magic and turn things around, and develop a sustainable positive trend the axe will soon be hitting OLE.Bado hajafukuzwa tu