Kweli, ila siyo Giggs, mbona amekipiga poa tu....sema itabidi apumzishwe ili Anderson aingie hapo....
Kazi yangu leo naifanya kwa 100% efficiency.
#Orijino #mburukenge mnasubiri Leverkusen asawazishe?!?
Msione aibu bana, huu ni mpira tu.....
Jitokezeni... Mbu na BAK hamtazami mchapo huu?!
yah! Giggs kwa leo kidoogo siyo kama alivyocheza mechi ya juzi dhidi ya Cardif, lkn kupumzishwa kwake na kwa manufaa ya timu ni muhimu.
United, the 1st English team to score 4 away UCL goals in Germany
Bayer liverkusen 0-5 Man U
FT Leverkusen 0 United 5