Kwahiyo kumbe fomesheni ni namba tu ila tukiingia uwanjani kila mtu na lwake, balabalachee.Shida sio hiyo 4-2-3-1...wewe unadhani tukicheza 4-3-3 au 4-4-2 ndo tutacheza vizuri na tutakuwa na consistency?
Kwahiyo kumbe fomesheni ni namba tu ila tukiingia uwanjani kila mtu na lwake, balabalachee.


Fomesheni hata mtoto wa chekechea anaweza kupanga..Kwahiyo kumbe fomesheni ni namba tu ila tukiingia uwanjani kila mtu na lwake, balabalachee.
Wakuu mbn zengwe, dogo kaharibu mechi moja tu mmeitoa imani kwake wakuu? Mbn huwa c mbinafsi yule dogo, ngj nimuite aje athibitishe kwamba hatarudia tena GreenwoodGreenwood ule ujinga wake leo hautavumilika.
Magwaya leohayupo ole amezamiria shari
Young boys wanamuona mwana sesere tu huyo tena