Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attempt 0 jamaa wana 5 huko 45min hivi tuko serious kweli tena OT??
Hii game tukishinda ni wachezaji tu watubebe na uzoefu wao na majina ila kimbinu ni weupe.
Majamaa yanapiga long pass nzuri kama kwenye play station ..

Ole ukiweza fanya kikombe hiki kituepuke btw De gea mpaka sasa man of the match.
 
Mbn mm naona cc ndio tunacheza sn isipokuwa hatutengenezi nafasi. Jamaa wanashambulia kwa kushtukiza shida ni kwamba nao hawana fowad kali, wangekuwa washatutia la mkikiri.
Possession tu tumezidiwa tunacheza sana kwenye half yetu huko mbele hamna tunachofanya wao wakija kwetu ni hatari.
 
Ole hamna kitu ntarudi kushabikia hii timu siku ole akifukuzwa kwasasa nipo hata muda wa kupoteza kuangalia mechi sina
 
Back
Top Bottom