Jana alikuwa talkSPORT katamka wazi wazi ule mchezo tulifungwa kwa ubovu wa kocha na sio sbb nyingine yoyote ile. Akashauri nafasi yake ichukuliwe na Conte au Zidane. Na akatolea mfano kuwa MUFC kwa sasa ipo ktk kipindi cha Lampard v Chelsea to Tuchel switch.
Udhaifu wa Ole jana aliweka mambo mawili;
Alimuingiza Ed cavani mchezaji asiye na match fitness muda unaohitaji kupata matokeo wakati alikuwa na Jesse Lingard na Jadon Sancho hawa wote walikuwa ktk competitive tempo compared to Ed ambaye hajacheza mchezo wowote ule wa ushindani msimu huu. It was a technical blunder.
Harry Maguire alicheza kwa dakika 10 akiwa anachechemea. Anasema kocha anajielewa hawezi kumuacha uwanjani mchezaji ambaye hayuko sawa. Hapa ni kama timu inacheza pungufu.