OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Aje atupe misimamo huyu mbuzi wa kafara
Aje atupe misimamo huyu mbuzi wa kafara
Yamepigwa kweli kweli mahayawani haya.Leo wanafungwa traaaa
Man u na wao wana kikosi B kumbe..!?"mnapata wapi kiburi cha kuchezesha kikos B wakati ata icho A amna"nyumbu ni nyumbu2View attachment 1948887
Man u na wao wana kikosi B kumbe..!?

wanashangaza an akat icho A chenyew kilimshindwa Yanga




















































Kapita next roundChelsea wao. Vipi huko
AjabuMartial bhana...yaani Greenwood kaingia tu na first touch yake ilikuwa ni dangerous move lakini Martial kwa dk zote hakuna hata presence yake.
ole mi5 tenaKinachoniuma mpaka Arsenal amepita dah timu zoote kubwa sisi ndo tumetoka round ya Kwanzaa tu.





Sisi man City tunaenda kumumenya huyo westham Kama muwaa...wengine wanasema bora tulivyotolewa
Carabao Cup draw:
Chelsea vs. Southampton
Arsenal vs. Leeds
Stoke City vs. Brentford
West Ham vs. Man City
Leicester vs. Brighton
Burnley vs. Tottenham
QPR vs. Sunderland
Preston vs. Liverpool






.Huyu bwana mdogo ana tatizo gani akipata competitor kwenye nafasi yake kiwango huwa kinashuka to zero ?tulikuwa tunagombania ubingwa kwa kumtegemea bwana huyu miaka miwili nyuma
View attachment 1948899
Huyu Martial leo ni kama alitufanya kucheza pungufu kwa dakika zote.Martial bhana...yaani Greenwood kaingia tu na first touch yake ilikuwa ni dangerous move lakini Martial kwa dk zote hakuna hata presence yake.