Mzee wa kosi la duniaBado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Mzee wa kosi la duniaBado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Bado hajafukuzwa tuu...
Wenzetu wapo serious.Chelsea wao. Vipi huko
Hata wakipona mkuu kwa kocha huyu hakuna jipya, kikosi cha leo kilikuwa na wachezaji wazuri tu kuliko wa west ham, hata tukishinda huwa ni kwa tabu sana hata tunapocheza na timu ndogo.Rashford na Cavani wapone haraka aisee
Mbwa sana huyu kocha.Mzee wa kosi la dunia
Ole ni mavi ya mbwa tu.Hata wakipona mkuu kwa kocha huyu hakuna jipya, kikosi cha leo kilikuwa na wachezaji wazuri tu kuliko wa west ham, hata tukishinda huwa ni kwa tabu sana hata tunapocheza na timu ndogo.
Makombe yenyewe ya kuchukua ndio haya tia kuni unaleta confidence wkt mbinu huna, kile ki Martial kule mbele kakipa muda wote ule wa nini?
BADO HAJAFUKUZWA TUUUUUUUUU......
Antonio ConteThen hebu sema mkuu, huyu Ole akifukuzwa ni nani atakayefaa kuchukua nafasi yake...!??!
Huwezi ukawa unafuatilia mpira halafu ukauliza swali kama hili. Labda uwe unapenda tu kuangalia mechi ila haujui kama kuna makocha wazuri na wengine hawana timu.Then hebu sema mkuu, huyu Ole akifukuzwa ni nani atakayefaa kuchukua nafasi yake...!??!
Hii link mzee nimeikubali..nipo porini lakini nimecheki gemu..Mnaohitaji link ya mechi hii hapa ya Twitter, hakuna lags ni ku-enjoy soka mwanzo mwisho.





Kombe lenyewe la mbuzi, mbuzi nyie hahahahAfadhali mpira umeisha maana hizi dakika za mwisho tulichoka ni kudra tu za Mwenyezi, BTW tushaachia la kwanza, KOMBE LENYEWE BAYAAAA.
Apo anawaza game ijayo ashinde awapoze..Kocha la ma dili na mipango
alaf io dangerous ikawajeMartial bhana...yaani Greenwood kaingia tu na first touch yake ilikuwa ni dangerous move lakini Martial kwa dk zote hakuna hata presence yake.















