Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki wenzangu wa man u mnanichekesha sana team ikishinda ni juhudi binafsi ya wachezaji na team ikifungwaa ni lawama kwa kocha.... Hahaaa embu mpeni respect kocha amefanya mabadiliko sahihi ya kumtoa pogba kuingia lingard kwan pogba alikuwa anacheza na jukwaa muda wote wa dakika 75 anacheza mpira madoido sana... Na lingard kafanya alichotumwa na kocha wake basii...
 
Nashukuru mkuu! Nipo safarini nmefanikiwa kuangalia dkk 30 za mwisho
Karibu sana mkuu.
Ila nikushauri kitu kimoja.
Tafuta simu za Samsung pale juu kwenye notification bar kuna mojawapo inaitwa SMART VIEW kisha tafuta smart tv ya Samsung utakuwa unaangalia mpira saaafi bila kujisumbua na Dstv.
Yaani Mb zako tu
 
Karibu sana mkuu.
Ila nikushauri kitu kimoja.
Tafuta simu za Samsung pale juu kwenye notification bar kuna mojawapo inaitwa SMART VIEW kisha tafuta smart tv ya Samsung utakuwa unaangalia mpira saaafi bila kujisumbua na Dstv.
Yaani Mb zako tu
Thanks kwa ushauri mkuu
 
Pnt 3 muhimu!

Bado Kuna makosa kadhaa ya kiufundi ,,, naamini ole na bench lake watayafanyia kazi !
Timu haichezi vizuri kabisa,,,, !

Cr7 the real deal,,,,,
Respect

Degea ,,,,


Jesse anahitaji more game time ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…