The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii fomesheni aachane nayo au aondoke huyu mbwa.
Hakijazama tuu.? 😁😁
Sosha mitano Tena 😂😂Hii fomesheni aachane nayo au aondoke huyu mbwa.
Watakula za kutosha.
Sheria zilibadilishwa ndugu, haiwezekani mkono kuzidi ukunyime goli kwani unaocheza ni mkono au mguu.VAR decision this tym sio sahihi. Clear kabisa CR7 alizidi mkono. Mdogo mdogo mnaanza kubebwa.
1-1
" 
.Wachezaji wetu wanahitaji kocha bora Ili wafanye vizuri, Ole ameshindwa tunashinda kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na sio mbinu.Huyu kocha wakuu hakuna namna aondoke tu.
Ubaya ni kwamba wanaangalia tumeshinda ila sio tumeshindajeHuyu kocha wakuu hakuna namna aondoke tu.