The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Leo nimeiona Utd ya ferguson 



















Huyo mtu ni balaa aiseee, alafu kwa ss lazima aupige mwingi mana yeye co star wa tm kwa ss, yupo star asiyelewa sifa na asiyekuwa na mpango wa sifa.Paul Pogba,mechi tatu assist saba
Hili jamaa likicheza mbele, Ronaldo atabeba golden bootPaul Pogba,mechi tatu assist saba
Hakika, Ronaldo hana ulevi wa sifa. Neno lake la kwanza anasema sijaja kutalii. Atakuwa catalist kubwa kwenye timu.Huyo mtu ni balaa aiseee, alafu kwa ss lazima aupige mwingi mana yeye co star wa tm kwa ss, yupo star asiyelewa sifa na asiyekuwa na mpango wa sifa.
sureKocha wetu bado ni mzigo.. He has many resources but he doesnt know how to use them![]()