NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,943
- 12,695
Naskia SIMBA wanamtaka #That'sAdryJoke
Muda upi tena mkuu![]()
Muda upi tena mkuu![]()
Sawa mkuu tuwe na subira epl ngumu sanamKuu kama amekaa Pale Turin kwa 3 seasons na kapiga GOLI 101 iweje ashindwe hapa OT wakati ukiangalia Chance's zilokosa wamaliziaji kwa Misimu 3 ni nyingi kuliko goli zikizopatikana kwa maana hiyo hatukuwa na Mmaliziaji wa Maana kwa Lugha nyingine wakueleweka mpaka pale ambapo alipatikana Cavani.
Kwa kwa huu msimu tu Anapiga 60 Trust me.
Kwa hiyo wanaozuia kombe wapo humuChelsea ndo mabingwa watarajiwa Hamna mwenye uwezo wa kutuzuia
Hakuna wa kutuzuia
Hamna anaezuia hapaHakuna wa kutuzuia
Namba 21 ni namba nzuri kwa Cavani kuliko hiyo 7..National team anavaa 21.Cavani atakuwa amepewa mshiko wa nguvu mpaka akaamua kumuachia Ronaldo hiyo namba 7
Hata mimi ningefanya hivyo hivyo
Ambayo ni jezi ya heshima kule kwao, alivaa Forlan.Namba 21 ni namba nzuri kwa Cavani kuliko hiyo 7..National team anavaa 21.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marcus Rashford