Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
.
Huu ndiyo upendo View attachment 1922926


Utafurahia tu wala usijali, jamaa ni masihihi na hajawahi kufeli ktk maisha yake.Sijui kwanini mpaka leo sijafurahia ujio wa Ronaldo.
Tuombe mambo yaende hivyo.Utafurahia tu wala usijali, jamaa ni masihihi na hajawahi kufeli ktk maisha yake.
sanaaCan't wait us vs Newcastle this coming saturday..
Internatonal break huwa zinaniboa sana.