Hakuna kitu hapo.Kwa mtazamo wangu, Lingard sio takataka. Endapo akipewa run of games kama za Martial, atakuwa na msaada sana katika timu. Anauwezo mkubwa wa kujiposition,running zake zinaeleweka, pia sio mvivu. Binafsi nisingependa kumuona akiuzwa.
Martial ni talented player, ila ni mvivu kuliko kawaida, huyu anastahili kukaa benchi ili apate hamasa ya kupigania namba.
This rumor is simply untrue.
This rumor is simply untrue
Hakuwa n muendelezo mzuri toka game ya Leeds ...5 assists in 3 games.
No Premier League Player of the Month nomination for Paul Pogba [emoji19]
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 1921018