Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Mkuu unavosema ole anazifunga big six ,kwa iyo aachwe anauwezo unajidhalilisha tu ....Ole ana misimu miwili full, na huu wa tatu.
Na hoja ya juu ilikuwa specifically kwa Ole, na sio timu na vikombe,
1. Umesema Hana Consistency, naomba uniambie Kocha asie na consistency anaweza kuvunja Record ya Ligi ya uingereza toka ianzishwe kwa kucheza mechi 28 za ugenini bila kufungwa?Mkuu unavosema ole anazifunga big six ,kwa iyo aachwe anauwezo unajidhalilisha tu ....
Ole sio kocha wa kuwapa epl waka CL ,haihitaji degree kujua hilo,tatizo mmekaza ubongo ...
Hana consistency ,tactics ...
Ole akipewa match 6 awin ili achukue epl hawezi ,trust me ....
Bado hajafukuzwa tuTimu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,
Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.
Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.
Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Hatafukuzwa sasa hivi, we kuwa mpole kwanza ChifuBado hajafukuzwa tu
saul angekuwa bora asingetolewa kwa mkopo huko alikotokaTuwekeeni fred na matic hapo kati tuwalale bao tano kavu.
Umemuona Saul?? Ninyi hamuyiogopi Chelsea??
wiki moja nyuma nilikuwa mitaa ya reddit subthread ya soccer na kuna mashabiki takribani wanne wa atletico madrid walikuwa wanamjadili huyo bwana saul, wote wanne walikuwa wanazungumza maneno yenye kufanana juu ya performance na mustakabali wa saul kwa hii miaka miwili.saul angekuwa bora asingetolewa kwa mkopo huko alikotoka
Uzuri wa Saul ni Kiraka kama Oshea, midfield kulia, kushoto, katikati, beki za pembeni, ukabaji, ushambuliaji etc.wiki moja nyuma nilikuwa mitaa ya reddit subthread ya soccer na kuna mashabiki takribani wanne wa atletico madrid walikuwa wanamjadili huyo bwana saul, wote wanne walikuwa wanazungumza maneno yenye kufanana juu ya performance na mustakabali wa saul kwa hii miaka miwili.
- kwanza saul amekuwa akichezeshwa nje ya position yake na elcholo
- kwa miaka hii miwili kiwango chake kimeporomoka labda sababu ndio hiyo ya kutokuchezeshwa eneo husika, sijui kama hata timu ya taifa ya spain ameitwa kwenye michuano ya euro
sijawahi kumuona kwa siku za karibuni(nimekuwa mvivu wa kufuatilia la liga)Uzuri wa Saul ni Kiraka kama Oshea, midfield kulia, kushoto, katikati, beki za pembeni, ukabaji, ushambuliaji etc.
Mchezaji mzuri sana kwa Benchi, anacover kila eneo.
Ngumu swali kujibu bila kujua Kocha ana mpango gani na VDB,sijawahi kumuona kwa siku za karibuni(nimekuwa mvivu wa kufuatilia la liga)
chelsea wamelipa euro millioni kama ni ada ya mkopo na pia kuna kipengele cha kulipa euro millioni 40 za usajili kama nitakuwa sahihi,
kwako wewe unaionaje biashara hii kama ingelikuwa kiupande wetu (unadhani klabu imefanya makosa kupuuzia dili lake tena kwa mkopo)
tactical huyu saul angelitupa msaada gani tunaouhitaji ambao tunaukosa kwa sasa kwa hawa wachezaji tulionao?
hiyo sentensi ya chini tufanye sijaisoma
na wakala wake kaweka msimamo mteja wake apewe nafasiVDB kabebeshwa chuma kweli, pengine anakuja Kucheza CM msimu huu, maana naona wameblock mpaka Deal la mkopo asiondoke.
Umejua kisa cha kutolewa mkopo....?saul angekuwa bora asingetolewa kwa mkopo huko alikotoka
Ngoja nichukue complete data nireview mwenyewe. For the time being naomba ukumbuke, man u sio chelsea, we very much care how we win our games, winning games like the way all the world media are reporting as stealing the win this weekend is not acceptable. not at all.Timu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,
Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.
Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.
Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Ulichoongelea hapa ni emotions na sio data. Nasubiria hizo data.Ngoja nichukue complete data nireview mwenyewe. For the time being naomba ukumbuke, man u sio chelsea, we very much care how we win our games, winning games like the way all the world media are reporting as stealing the win this weekend is not acceptable. not at all.
& with the quality of players the club has invested into, the route source of these embarrassment is none but Ole.
most of good things associated with our club are in the courtesy of Clubs Financial Position. After Real Madrid and Barcelona decisive actions to strip their wage bills by letting go of expensive players, Our Club must have taken the lead. You could think our strategy has turned into buying trophies, but none is coming.
OSG is neither a leader nor a Manager, he is a wasteful person, he wastes club's money and the player's talents.