£75m down the drain?Mkuu si ajabu baada ya miaka 2 tukaanza kumfukuzia Chiesa aje azibe hilo pengo la kulia.....
Mimi naona tujenge kali sana hata hiyo hoja ya sijui namba 7 itakuwa hamna maana tutakuwa tunazibuana madhaifu.....au greenwood azoeshwe tu huo upande maana Sancho bado sana
Wase.nge kweli hawa Westham..wameshindwa kutoa hata £25m kwa Jesse aliyewasaidia kupata Europa League spot.Siyo hawana heshima bali wanaleta habari za mjomba tajiri. Wacha Lingard abaki wapuuzi hao.
View attachment 1917313
kurt zouma wamlipie paundi millioni 30 pia wanataka kumsajili tagliafico
eti lingard aliyewafungia magoli 9 tuwape kwa mkopo.
kwa hali hii ni bora lingard abakishwe, yaonekana west ham hawana heshima dhidi yetu
McTominay tunamunderate sana kwenye kikosi chetu.Fred amejichokea vibaya mno..na McTominay or Matic can't be a solution..
McTominay anahitaji cover mkuu..hawezi kucheza mwenyewe na let say mtu kama Pogba huku deep,the same applies to Matic..McTominay tunamunderate sana kwenye kikosi chetu.
Mc Tominay tunamunderate sana kwenye kikosi chetu.McTominay anahitaji cover mkuu..hawezi kucheza mwenyewe na let say mtu kama Pogba huku deep,the same applies to Matic..
Fred+McTominay atleast ila sio Mmoja tu acheze na Pogba.
Nadhani tumeona Fred+Pogba,,McTominay+Pogba,Matic+Pogba..timu inakuwa rojorojo kuliko maelezo..
Hiki kiungo chetu bado kitaendelea kutusumbua sana..
Mkuu Wan Bissaka bado namkubali wala sijamkataa kwasababu defensively ametusaudia mara nyingi.....Mkuu posts zako za nyuma ulihitaji sana usajili wa Wan Bissaka na Jadon Sancho iweje umpime kwa mechi moja tu ?
Mimi naamini Sancho hatafikia level ya Bundesliga ila uchezaji wa timu yetu hata Ronaldo tutaanza kumtukana.
Timu yetu haichezi ila inaingia uwanjani kubahatisha kukimbiza mpira tu.
Timu haifanyi pressing na wala haiwezi hata kupiga pass accurate tatu ??????
basi tena walio serious wanachukua wachezaji wazuri.....huyo dogo japo hataingia direct first eleven ila baada ya miaka 2 anawez kufanya vizuriutakapoamka huu ujumbe unakuhusu, msimu uliopita declan rice alizidiwa kwa kila kitu na fred.
View attachment 1917299
alafu ajabu anabaki ila anacheza game 8 na 3 anaingia dakika ya 85hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.
ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
View attachment 1917303
ile mikimbio yake uoande wa kulia wa Leeds italeta manufaa kwao......kama bielsa akimuongeze ujuzi na skills za shooting atasumbua sana.Huyu kinda tutamkumbukaView attachment 1917532
West ham wameshindwa kufikia Valuation ya Utd,Jesse Lingard shida ni nini?..mbona hatujaweza kuvuta mkwanja?.
Tungepata hata hela ya kuongeza ubora kwenye kiungo ukiongezea na hii ya James.
Anaitwa marama nani?Mkuu Daemushin umemsikia Marama akiendeleza kile anachoamini kuwa ni ubovu wa structure/shape ya timu kuanzisha,kuendeleza na kutengeneza nafasi ?
Anaamini hata tukiwa na striker wote world class bila hili suala kupatiwa ufumbuzi wote tutawaona ni bure tu
Shida sio west ham shida ni sisiView attachment 1917313
kurt zouma wamlipie paundi millioni 30 pia wanataka kumsajili tagliafico
eti lingard aliyewafungia magoli 9 tuwape kwa mkopo.
kwa hali hii ni bora lingard abakishwe, yaonekana west ham hawana heshima dhidi yetu
Waingereza wanauzwa? Ushaona wapi?hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.
ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
View attachment 1917303
hahah kwamba jones long as hachezi huna shida nae.Safi sana, haya matakataka ndiyo yanayo tucost, bado matakataka haya hapa
Martial
Lingard
Jones (huyu sina shida naye cz hachezi)
Ole.
Jamaa anapiga kwenye mshono tu"If football remain like this Sancho will be loaned next season ." #MUFC
-Roy Keane