Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizo damu changa ndy zimetufiksha hapa.
Kwa miaka yote.

Cavan ni Mzee na hajapata game time nyingi.
Lakini amefunga magoli Mengi kuliko rashford na martial.
Sasa ujana wao utasaidia nn?
Upande mwingine zimetufelisha sana damchanga kidogo van persie mdogo(greenwood Mason) amekiwasha kwelkwl
 
Hongereni wadau kwa kulipamba jukwaa!! Hope wote humu mko poa,CR7 karibu tena nyumbani.
#GGMU
Nilichungulia jukwaa la wapinzani wa man u EPL..

ni vilio vitupu..na mayowe yalisikika.

Wengine wamekwenda mbali zaidi wanasema CR 7 atatusumbuwa sna EPL.

wengine wakimlaumu Giudiola kwa.kushindwa kufanikisha kumchukuwa CR 7..

nikashangaa sn yaani timu kama arsenal,chelsea,liverpool zinaona bora CR 7/ angeenda man city kuliko CR7 kuja man u..
 
Ronaldo alikuwa ameshakubali kulipwa £270,000/= per week city ,kwan alikuwa amekubali project ya city ....


Lakini nyie nyumbu from no where bila hata kufikilia mna mpango gani ,wivu ,chuki na kisebengo kinawawasha mmeamua kumpa ronaldo £480,000/= per week ,then mnasema anaipenda united .....

Wakati mmeamua kumpa mkwanja mrefu kikongwe wa miaka 36 ....


Yaan huu usajili unaenda kubuma ....

Eeeeeh Mungu nisaidie .......
 
City hawakuwahi hata kutoa proposal mzee acha kudanganya watu...

Man united kumpa Ronaldo hata milion wewe unaumia nini nawewe tafuta leged wako wa miaka 36 umpe kama unaona tunafaidi
 
Ni roho mbaya tuuuu
 
Mkuu posts zako za nyuma zote unataka tusajili DM wa uhakika leo imekuwaje DM asihitajike ?
 
Tumekuelewa mama Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…