Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure.
 
Umetema cheche ya moyoni mwangu Jombaa. Ronaldo kaja kuleta hali ya kujiamini na kujituma kikosini. Pia, Cristiano atasaidia vichezaji vya hovyo hovyo vitupishe tujenge timu kwa utulivu Anthony Martial, Daniel James, Marcus Rashford wakae mguu sawa hatutaki mzaha na mchezo.
 
Nonsense
 
Yani tukae hapa kupeana moyo tatizo ni DM, mwaka jana tuliimba wimbo wa tatizo ni wing ya kulia, haya wing ya kulia imekuja tumeanza wimbo wa DM wkt tuna Fred, tuna Tommy n.k, tatizo ni kiongozi tulikosa, Bruno ni kiongozi ila hatoshi kwa ss, tulimhitaji CR7 au Messi kuliko kima yyte yule duniani kwa sasa.
 
Cr7 anaweza kupa magoli 20+ ambayo wachezaji wengi pale utd hawawezi kukupa.

Story za DM, Full Back, Striker, tumeshazichoka. Kila msimu tuaweka eneo la kulifanyia kazi.

Wanasajili still hakuna improvement yeyote.
 
Hata mauzo ya jezi watakusaidia.
Umeona impact ya director of football? Jamaa yupo serious, strategic and very fast. Naamini huyu jamaa anaweza kusuka timu imara sana ndani ya hii misimu miwili. Kwa mara ya kwanza tumeingia sokoni tukiwa serious sana toka aondoke David Gill.

Techically, ukiangalia kwa umakini Ed Cavani anamaliza mkataba wake mwakani kama tunawasha moto msimu huu ili u-maintain momentum ya timu unahitaji repalacement makini. Nafasi ya mchezaji kama Cristiano au Lionel ikijileta hulazi damu, ni aina ya mchezaji ambaye hukosi goli 15 za EPL na goli 7 za UEFA kutoka kwao.
 
Ila hii ilikuwa obvious sana.

Kwanza cr7 ni zao la utd na anaipanda united na anapendwa na mashabiki wa united. Kuja kwake kulikuwa sawa na kumsukuma mlevi.

Hata Leonel Messi angeletwa tu.

Walete uzoefu wao.
 
Cr7 anaweza kupa magoli 20+ ambayo wachezaji wengi pale utd hawawezi kukupa.

Story za DM, Full Back, Striker, tumeshazichoka. Kila msimu tuaweka eneo la kulifanyia kazi.

Wanasajili still hakuna improvement yeyote.
Jamaa kauchukulia huu usajili kwa jicho la wepesi sana. Tumejaza wachezaji average sana. Marcus Rashford ana umri wa miaka 23 na Anthony Martial ana miaka 25 ila hawajawahi kufunga goli zaidi ya 20 za EPL japokuwa wamecheza zaidi ya misimu mitano kila mmoja kama regular starters.

Mchezaji kama Jamie Vardy pale Leicester City anafunga goli zaidi ya 20 EPL kwa misimu mitatu na mmoja wao aliwaongoza kubeba EPL sisi tumejaza vichezaji vipo misimu karibu saba havijawahi kufunga hata goli zaidi ya 20. Tumechoka kuvumilia vichezaji vya hovyo.
 
Inapotokea nafasi ya kumsajili Cristiano au Lionel hata kama ulikuwa unahitaji golikipa na wote wameumia, unasitisha mpango halafu unapandisha kipa hata mwenye miaka 16 atadaka ila lazima fursa uitumie. Kila mtu anataka kuwasajili hawa watu ila wanajua mwenye kisu kikali ndiye atakula nyama.
 
Kwani ni hela zako?
 
Cr7 anaweza kupa magoli 20+ ambayo wachezaji wengi pale utd hawawezi kukupa.

Story za DM, Full Back, Striker, tumeshazichoka. Kila msimu tuaweka eneo la kulifanyia kazi.

Wanasajili still hakuna improvement yeyote.
Tutakwenda na 4-4--2..

CR7 ...cavani 9


Rashford... Pogba Bruno. Sancho.

Shaw,magwea,varane bisaka.

Tutaachana na DM..

Kama ole yupo serious na makombe,..
 
Mkuu,,,kwa kiungo wa ulinzi sio shida sn kwa sasa.

Tutacheza 4 -4--2..

Cr 7 na cavani 9.

Wote watakuwa up front.


Ni wao timu pinzani wanapaswa kujilinda na sio man u..

Man u ni attack ,,attack..

Martial anapaswa akabidhi no CVN 9 kwa cavani...

Ronaldo apewe CR7..

Pogba na Bruno wanacheza kati..
 
Oh miaka oh miaka, cavani ana umri gani?

Kaangalie kama babu cavani hajawazidi akina firmino na timo wena na ujana wao kwa ufungaji msimu uliopita, kwa sasa mashabiki lia lia wa cheltako,liverfool,arsenane,manshit na mashoga zenu inabidi mtoe unyumba kwa utulivu kabisa, ronaldo analeta ari ambayo kuizima unahitaji usaidizi wa umoja wa mataifa. ni hayo tu
 
Tumemsajili ili asiende city..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…