Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United had a bad performance. Yes, that was due to personnel but it was also due to structure — it didn’t place players in ideal positions to succeed i.e exposed Fred. That’s a pre-existing coaching issue. It lacks central penetration and struggles in the right.
 
It’s a domino effect — a team that can’t get out of it’s own half can’t buildup, can’t progress and therefore can’t create. The poor structure i.e
positioning that leaves players in trouble when receiving, exacerbated an already poor performance by players.
END.
 
habari za jioni waungwana munaopatikana humu ndani, aliyeelewa anielewesha hii tweet
View attachment 1907842
Hivi ni vikao vya ndani vya kimkakati vinavyoongozwa na mkurugenzi wa ufundi kupanga mkakati wa usajili kwa ajili msimu ujao huwa vinaanza kukaa mapema.

Kikao cha kwanza watakaa mwezi ujao na tayari mshambuliaji wa kati ni kipaumbele chao. (Ed Cavani atakuwa tayari kamaliza mkabata wake)

Wajumbe wa hicho kikao ni DOF, TC, technical staffs na regional head of scouts. Baada ya hapo ni task assignments kwa wajumbe kama watafanya head hunting (e.g Erling Haaland) au lah.
 
tuna matatizo ya wachezaji mmoja mmoja wasiofiti kabisa kwenye mapambano haya yanayoongozwa na makocha wa kisasa, vile vile tuna matatizo ya kiufundishwaji na kwa maana hiyo hata kama OLE atapewa DM kama makelele/ kante na mshambuliaji zaidi ya ronaldo de lima basi bado hatoweza kuifanya man utd iwe juu kiuchezaji zaidi ya liverpool, man city au chelsea hii ya tuchel
subirini mechi zifuatazo tutakapocheza ndipo mutakapofahamu ninachokizungumza
  1. liverpool - nyumbani na ugenini
  2. brighton - ugenini
  3. man city
  4. leicester city - ugenini
  5. chelsea (baada ya kuja tuchel)
  6. hata arsenal wanatushughulisha sana kimpira pindi wanapoamua kupress kuanzia juu
 
Wajumbe wa hicho kikao ni DOF, TC, technical staffs na regional head of scouts. Baada ya hapo ni task assignments kwa wajumbe kama watafanya head hunting (e.g Erling Haaland) au lah.
nilichokuwa nataka kufahamu ni kimoja tu, mbio zetu za kutafuta mchezaji mwengine ndio zimeisha kwa msimu huu hivyo ndio tunajiandaa na msimu ujao?
 
Tukiamua kuwa wakweli kwa maendeleo ya timu yetu, Ole anapwaya parefu mno kwenye ile siti.
Sioni positivity yoyote tofauti na mwaka jana kwenye mbinu zake.
Mimi sina shida nae kimbinu ila shida yangu ni amerelax sana to the extent ya timu kukosa sense of urgency uwanjani.

Tunacheza kumaliza dakika tisini siyo kupata ushindi
 
Kabla sijamaliza kusoma bandiko lako tayari nime mfollow twitter.
Shukrani sana Daemushin kwa ajili ya huyu mdada pamoja na Eric Laurie
 
Ni bahati mbaya sana huwa tunaangalia matokeo ya mwisho lakini kiuchezaji timu yetu huwa inapata shida sana kutengeneza clear cut chances pindi tukikutana na timu zisizoogopa majina makubwa ya wachezaji wetu.

Hili tatizo la lack of passing option nimeanza kulielewa...kuna mechi yetu dhidi ya huddersfield ya akina aaron mooy msimu wa 2019 mata anapotezea mpira katikati ya uwanja,tukapigwa 2-0.

Tatizo la right flank....hili tatizo la kujiposition kwa wanbisaka pamoja na kutokuwa msaada mkubwa timu ikipandisha mashambulizi,unaweza kuwaelewa akina Ole kwa nini wanataka kumleta trippier. Wanbisaka anatunyima option za mashambulizi ndio maana tunatabirika sana kwamba ni aidha uzuie mipira kwenda kwa shaw au u press central defenders una uhakika mkubwa wa kushinda possession.
 
nilichokuwa nataka kufahamu ni kimoja tu, mbio zetu za kutafuta mchezaji mwengine ndio zimeisha kwa msimu huu hivyo ndio tunajiandaa na msimu ujao?
Hapana. Malengo ya msimu huu ilikuwa beki wa kati (must), mshambuliaji wa pembeni (must) na kiungo wa kati (necessary but not priority). Technically, 90% ya target waliyojiwekea wamekamilisha. Sidhani kama tutafanya usajili mwingine tena.
 
Daemushin, leo nimeona Marcus Rashford kafanya mazoezi mepesi Carrignton. Nifungue hapa nini kinaendelea si alipaswa kurudi baada ya wiki 8?
Ukiachana na picha zake sijaona taarifa yeyote juu ya maendeleo ya afya yake, ngoja niende reddit pengine tunaweza kupata ubuyu, au tumsubirie Ole siku ya Ijumaa atatoa updates.

Pengine hiyo 4-3-3 inayoimbwa itapatikana pindi atakaporudi, kwa sasa simuona labile akianzia benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…