πππ Daaah nmecheka sana πππ Kwahy jamaa anakusingizia ππDuh! Wapi nimesema Ole atolewe?
Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.
Ukiondoa hivyo vichezaji vya hovyo ulivyovitaja hapo juu ila kusema ukweli sioni tukibeba kombe lolote lile chini ya Ole hata kama timu itaanza kucheza vizuri baadae.Average player, hamna kitu ni mchezaji wa timu ndogo, lkn bora huyu kuliko vikina Martial, Trashford, Lingard, James, hivi ndiyo vitatuharibia msimu mana vinapata nafasi ya kucheza hivi vitaka taka.
Tunaendelea kucheza simple football tukitegemea kila timu itajiachia tu kama Leeds..hovyo kabisa..more 1-1 and 0-0 to come.
Tukikutana na low block shughuli imeisha...Tukipressiwa na timu pinzani na penyewe shughuli imeisha.
Nimewacheki wale Chelsea..ebhana quality inaonekana.
Nilishasema mfumo wa mactomy na Fred ndy utatukosesha ubingwa msimu huu..Kwa jinsi tulivyoanza msimu kwa style,ningependa tuendeleze moto ule ule dhidi ya timu yoyote itakayokuja dhidi yetu.
Lakini hofu yangu ni namna Ole atakavyozubaishwa na McFred yake asahau kuhusu usajili wa DM mwingine kitu kitakachotukosesha plan B kwenye baadhi ya game.
Nilipenda Ole alione hili tatizo kabla mechi zijazo hazijamuonesha pindi tunapostahili kutokuwa na McFred dimbani.
Now nimegunduwa tatizo ni kocha.OGS ameanza na Matic na Fred.. then mbele Martial.. sijui leo kama tutatoboa.
Tatizo la ole hana first 11 ambao ndy chaguo namba moja.Ukiondoa hivyo vichezaji vya hovyo ulivyovitaja hapo juu ila kusema ukweli sioni tukibeba kombe lolote lile chini ya Ole hata kama timu itaanza kucheza vizuri baadae.
Bado naona tuna tatizo lile lile kwa Ole - poor game management haikuwa mechi ya kutoa sare hii. Huwezi kushinda mataji na kocha asiye na mbinu mbadala uwanjani.
Tunahitaji DM ili kucheza na medifilder 1 chini,Last season tulisema tukimsajili Sancho matatizo yameisha ,leo tunasema tunahitaji DM,next season tatizo litakuwa GK
OGS alifanya kosa kubwa sana kumuuza Lukaku ili kumu-acommodate Martial,msimu huu sitegemei jipya
Ole auzwe tu..hakuna namna..Duh! Wapi nimesema Ole atolewe?
Mda mwingi umekuwa ukilisema hili na ndiyo ukweli wenyewe huo, kocha amekuwa muoga kupitiliza.Tunahitaji DM ili kucheza na medifilder 1 chini,
Badala ya Fred na mac tommy.
Tunapaswa tucheze 433..
Badala ya 4231..
Ambayo haina maajabu yeyote kwa sasa man u.
Chanjo mzee babaNaomba kuuliza.
Hawa wazungu hawajavaa barakoa na wamekaa karibu karibu naomba ufafanuzi ..
Ni kwamba wamechanja au ndio uviko kwao umepotea?ΒΏ???
Hatujapigwa [emoji375][emoji375][emoji3537][emoji3537]SANCHOKA tumepigwa
Nisikudanganye ndugu yanguFred & Matic kati? Serious? Na Martial mbele? Aisee ... Muda mwingine mnakuwa na muwasho na kupigwa.
And then what? Donβt you see the progress that the team has made?Ole auzwe tu..hakuna namna..
Tatizo ni kocha kwa sasa..
Kuna watu walibisha hii jana mmepata majibusosha akijiaminisha na ule usajili wake tukaingia kuliwasha mbungi tutaishia kupigania top 4 bila kiungo cha maana kazi bure yule fred na scott sioni kama ni watu sahihi pale kwenye mech ngumu za timu ngumu
Bado mkuu?Msimu huu hakuna cha double pivot