Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Opel l8ter
gwm_sports_tz_239197162_525012658563420_8369760411952109648_n-1.jpg
 
Vita ya DM
  1. Pape sarr - miaka 18, anacheza Metz ya ufaransa. Anawaniwa na vilabu vikubwa vitatu vikiwemo Chelsea na man city
  2. Aurelien tchouameni - anacheza monaco, huyu naye ana vita yake kama ya Huyo wa juu na ana miaka 21
  3. Camavinga - ana miaka 18, anawaniwa na vilabu vitatu vya nchi tatu tofauti
Umegundua jambo gani la umuhimu?
 
Najaribu kuongelea overall ...mnapokosa makombe nyumbu mnakimbilia historia Tu huku mkipata maumivu makali moyoni kama ndo njia ya kujifariji.....huyo WA Chelsea hata kama n historia lkn tokea 2000 ameshuhudia timu yake ikichukua makombe mengi kuliko timu yoyote hapo EPL ...angalieni msiende msimu wa 5 trophiless

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe umeongelea historia kwa kusema since 2000, unajifurahisha kwa kuweka limit
 
Umri

Ila tofauti na umri binafsi namkubali sana huyo dogo wakuitwa Tchouameni. Aisee dogo yuko poa sana ningefurahi sana kama klabu yangu pendwa inge mchukua.
Vita ya DM
  1. Pape sarr - miaka 18, anacheza Metz ya ufaransa. Anawaniwa na vilabu vikubwa vitatu vikiwemo Chelsea na man city
  2. Aurelien tchouameni - anacheza monaco, huyu naye ana vita yake kama ya Huyo wa juu na ana miaka 21
  3. Camavinga - ana miaka 18, anawaniwa na vilabu vitatu vya nchi tatu tofauti
Umegundua jambo gani la umuhimu?
 
Sasa unataka nijivunie makombe ya miaka ya 90 ambayo asilimia kubwa hapa hatujawahi kuiona ligi ikiwa broadcasted mpk miaka ya 2000
emoji1787.png
Historia ni historia ila kama wewe umeamua kujiwekea limit kwa kujifurahisha hamna mtu anakukataza kaka
Sasa unataka nijivunie makombe ya miaka ya 90 ambayo asilimia kubwa hapa hatujawahi kuiona ligi ikiwa broadcasted mpk miaka ya 2000
Basi historia ya kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma ifutwe..
 
Hapo juu ,...

Man utd ataongoza....

Chelsea ataongoza league ...

Liverpool ataongozaa league ...

itafika muda hata lecister city ,westham na spurs ,wataongoza league ....

ila kidume man city tukishakaa pale juu at the top ,gari linaenda kuzimika may ,EPL imeshatua ....

Keep watching nigga.....
 
Safari hii tatu bora hampo labda mumpate Harry Kane
 
Pogba sasa ni mpiga dili hana mapenzi na timu. Akiondoka bwerere atajiuza mwenyewe na hela badala ya kuja Manutd itaenda mfukoni mwake.

Kama PSG hawatamhitaji basi ndiyo atasaini na kusingizia hakuwa hata na mpango wa kuishia lakini kwa kiwango chake cha sasa kawashika pabaya
PSX_20210819_194358.jpg
 
Yuko sokoni na kama OGS yuko serious kubeba mataji amnunue. Amuuze Martial, Dalot, Van Beek hatakosa hela ya hii dili
PSX_20210819_194858.jpg
 
Pamoja na tambo kibaba ukweli ni kuwa Lukaku is not a big game player atawasaidia kuwanyuka walio chini ya kumi bora lakini mechi za top six uzoefu unaonyesha ni mzigo huwa hafungi
PSX_20210819_195309.jpg
 
Sioni Pepe Guardiola kumchukua CR7 labda PSG ndiyo yenye uwezo wa kumlipa hela ndefu.

anayoitaka
PSX_20210819_195928.jpg
 
Back
Top Bottom