D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Rafael Varane signs







Hakika. Jamaa damu ya kunguni km RivaldoThe guy is so optimistic amekosolewa sana misimu miwili iliyopita lakini hajawahi kupaniki wala kulalamika.
Kuna kipindi unaona kabisa hili ni kosa la slab head ila watu watakuja hapo kosa ni la Lindelof.
Ngoja tusubiri hii vita naona Bailly yeye kashapoteza pambano kabla ya kuingia uwanjani.
Wanataka kurudi tena kwenye Europeana Super League ?
Hehehehee Rivaldo ana balon d'or kabatini.Hakika. Jamaa damu ya kunguni km Rivaldo
Kazi ya bwana "Cliff Briggs" hiyo.Timu yetu ya IT are the best sana.....hizi presentations videos kali sana
Hahaha itabidi FA wa-introduce weight cap policy. That nigga is too big.Pale mbele mna kiroba cha kilo 100 akitaka kufunga sharti aheme kwanza aweke mpira vzr ndo apige, hongereni wakuu![]()
Hahahahaha hii manure tushaizoeya hamuna jipya humu ni mwendo ule ule wa Ole kung'ata na kupuliza. Mkija shtuka mpo level zile zile wakati chama kubwa, chama pendwa, chama la wanna, timu ya baba, timu ya mama, timu ya babu na bibi CHELSEA FC inaendeleza tu kubeba back to back hadi kieleweke. Hii manure sioni popote pale siyoni ikifanya jambo la kueleweka kabisa. Huyu Sancho ,Varane mmepigwa ..subirini game ya kumi uko ndo mutajua hii timu mbovu kiasi gani.Niliisubiri ligi kwa hamu hatimaye ikaanza, baada ya ligi kuanza nikasubiri mashabiki lia lia akina OllaChuga Oc na wenzake waje kulialia kama ilivyo ada, lakini kwa hali ya kuskitisha wapo kama wamekula ulanzi(hawana jambo) hii ni picha ya wazi kabisa kuwa the devil is awake and the show is on, popote ulipo shabiki wa man u nataka nikuhakikishie kuwa huu ni msimu wa burudani non-stop, just a reminder, mechi iliyopita varane na cavani hawakuhusika, Sancho alitoa huduma kidogo tu, sasa zile big match tulizotoa sare wataita maji mma
Hahaha hayo makombe mnashtuka kuyabeba sasa hivi mnajiona wachojii, round hii tunakupiga nje ndani ewe mpangaji wa StamfordHahahahaha hii manure tushaizoeya hamuna jipya humu ni mwendo ule ule wa Ole kung'ata na kupuliza. Mkija shtuka mpo level zile zile wakati chama kubwa, chama pendwa, chama la wanna, timu ya baba, timu ya mama, timu ya babu na bibi CHELSEA FC inaendeleza tu kubeba back to back hadi kieleweke. Hii manure sioni popote pale siyoni ikifanya jambo la kueleweka kabisa. Huyu Sancho ,Varane mmepigwa ..subirini game ya kumi uko ndo mutajua hii timu mbovu kiasi gani.
CFC
Tutabaki wachache tunaomkubali McGin kuliko Rice lakini ipo siku tutashinda ubishi.Nataka kumshauri aende Aston villa ili watupe McGin. Tukimpata tu tunabeba uefa mkuu.
Mkuu kila mtu anajua bingwa ni Chelsea msimamo utakuwa hivi ..Hahaha hayo makombe mnashtuka kuyabeba sasa hivi mnajiona wachojii, round hii tunakupiga nje ndani ewe mpangaji wa Stamford
MsimamoMkuu kila mtu anajua bingwa ni Chelsea msimamo utakuwa hivi ..
Chelsea
Man city
Leicester
Spurs
Liverpool
Man united(manyumbu)
Hii najua wengi mtapinga maana mumetarajia mengi huu msimu lakini tutawashangaza sana.