Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Lukaku anaweza kupwaya kwa sababu ya first "ball control" yake is very poor na mpira wa EPL una kasi sana siyo kama wa wataliano. Chelsea wanaweza kujutia hela yao
Wewe jipe moyo tu.Pamoja na tambo kibaba ukweli ni kuwa Lukaku is not a big game player atawasaidia kuwanyuka walio chini ya kumi bora lakini mechi za top six uzoefu unaonyesha ni mzigo huwa hafungi View attachment 1898609
Kane lazima atue city ,pep anataka striker kuziba pengo LA agueroSafari hii tatu bora hampo labda mumpate Harry Kane
Akija man u unabadilisha msemo kwa kuingiza ule msamiati wenu pendwa "mmepigwa"Umri
Ila tofauti na umri binafsi namkubali sana huyo dogo wakuitwa Tchouameni. Aisee dogo yuko poa sana ningefurahi sana kama klabu yangu pendwa inge mchukua.
Alikuwa na ball control mbovu alipokuwa unyumbuni ...lkn alipoenda inter Kwa mtaalamu Conte ameimprove kuanzia ball control, uzito kapunguza na ana Kasi Sana atakuwa threat pia kwenye mipira ya counter....Lukaku anaweza kupwaya kwa sababu ya first "ball control" yake is very poor na mpira wa EPL una kasi sana siyo kama wa wataliano. Chelsea wanaweza kujutia hela yaoView attachment 1898627
Match ijayo uko na nani?Man utd ni sawa na mtoto ambaye shulen hana akili ,zero brain ..lakin kila akiambiwa ukweli ajitume kusoma na kufauli anavimba na kuanza kusema baba yake ni msomi alikuwa na akili na alisoma sanaa....
Akija man u unabadilisha msemo kwa kuingiza ule msamiati wenu pendwa "mmepigwa"
Lindelof atawakalisha benchi mmojawapo kati ya Maguire na Varane.Nategemea hizi match tano za mwanzo tutashinda convincingly..point 15 kibindoni then tuendelee na blocks nyingine.
Vs Southampton jumapili nategemea burudani tu..
Varane vs Lindelof..dooh,I'm starting to feel sorry for Lindelof japokuwa nilikuwa simwamini..anyway,inabidi tuwe na squad nzito Sana ili tupambane vizuri.
GGMU.
Pogba akicheza left wing tunakuwa bora zaid martial aanze benchi greenwood asimame 9 alafu shavu la kushoto asimame sanchoMY STARTING XI VS SAINTS JUMAPILI
=======
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred Pogba
Greenwood Fernandes Sancho
Martial
========