Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Top four yangu msimu huu

01. Chelsea point 97
02. Man City point 82
03. Liverpool point 75
04. Manure point 71(hapa ni upendeleo tu)
06. Everton....
07. Spurs.....
08. Wolves....
09. Arse8...
10. AstonVilla..
NB: huu misimamo unatokana na usajili timu iliyofanya na idadi ya hazina iliyonayo.

Kwa sasa Chelsea kuna vijana wenye njaa na makombe.
Man city nako hivyo hivyo ila mbinu za Pep zishaingiliwa kinyume na maumbile.
Hii Liverpool haijafanya usajili mkubwa ila wana kocha mwenye kujua nini anafanya.
Hii Manure a.k.a manyumbu a.k.a matakataka a.k.a sijui nini...wana/wamesajili vinabo hivyo sioni kama kuna lolote la maana watafanya huu msimu, mbaya zaidi key players wao wanacheza hii timu kwa sababu ya pesa tu i.e Pogba, Rashid..kocha Ole sio kocha aliyeiva kubeba makombe ..huyu hana tofauti na pochettihno au yule kocha mpya wa Spurs..

Zingine kwenye msimamo Ndo kama hivyo...

Arse8 ataendelea kuwa mshiriki tu wa ligi.
 
Naangalia game na everton hapa man united tuko mbele bao 3 kwa sifuri

Nachoweza kusema naona improvemnet kubwa sana... team inaonesha chachu ya ushindi, morale ni kubwa sana kwa wachezaji

Kwakweli na enjoy kuona united kama hii. Na nna imani itaenda kuleta ushindani katika kuwania makombe..

Anaecheki game anaeza thibitisha hili
 
We dada una matatizo
 
Nenda kacheze na watotot wenzako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…