Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mwandende tusubir tuone mkuu umesikia ubashiri wa wachambuzi, wacheza kamari,wachezaji wa zaman (worldwide) unaoihusisha team yenu na ubingwa?
 
mwandende tusubir tuone mkuu umesikia ubashiri wa wachambuzi, wacheza kamari,wachezaji wa zaman (worldwide) unaoihusisha team yenu na ubingwa?
Msimu wa ole wa kwnz man u
4 th winner 2018/2019
3rd winner 2019/2020.
2nd winner 2020/2021
1 winner 2021/2022.

Mimi siangalii maneno ya wachezaji kamari ,
Wala wachuzi uchwara.

Naangali parfomance ya timu yangu.
Wachambuzi wengi ni wanazi wa timu fulani..
 
Anthony Martial is back..

Mmeona upara wake lakini?..he better score 20+ goals this season.
 
First 5 fixtures;

1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)

Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Kwenye hizo mechi tutapata points nyingi tu kwa sababu ukiondoa Leeds na Westham hizo zingine ni timu dhaifu sana.
Wolves wameondokewa na kocha wao na wachezaji wao muhimu wanaelekea kuondoka hivyo sioni kama watakuwa serious competitors msimu huu.

Southampton huwa wanabahatisha bahatisha tu labda tukutane nao kwenye siku yao.

Newcastle bado siyo ya kutisha sana japo wanafanya usajili mzuri mzuri msimu huu.
 
Hakuna ata game moja utashinda hapo
First 5 fixtures;

1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)

Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
 
First 5 fixtures;

1. Leeds United (H)
2. Suothampton (A)
3. Wolverhampton (A)
4. Newcastle United (H)
5. West Ham United (A)

Tusipopata points 15 hapa Ole aondoke.
Tutapata 13 points.moja tuta draw kama atatumia 4-3-3..
 
Back
Top Bottom