Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bwana Jack Grealish alichopost mwaka 2012, leo City wanamtaka. Hata wazungu wanafukua makaburi [emoji1][emoji1]
unitedgolazo-___CR_X4zjly95___-.jpg

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Huyu dogo selfish sana, alikua anajua anatatizo la bega muda mrefu, sijui kwann alienda uero isitoshe kule hakua 1st eleven

Sasa tutamkosa mechi kibao za ufunguzi
Mimi mwenyewe nilishindwa kumuelewa..kwanini aende euro na ana pending medical issue ambayo angeweza kutumia summer hii kutatua hiyo ishu!??

Sio kesi Sancho anaweza kutokea pia kushoto..Greenwood ataua kulia..Bado bishoo Martial naye yupo.
 
FUNNIEST FACTS: [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Between Chelsea FC and Manchester United signings;

[emoji383]Big money signings:

Chelsea FC;
[emoji185]Kai Havertz £72M [emoji3591][emoji471] UCL.
[emoji185]Morata £57M [emoji3591][emoji471]FA Cup.
[emoji185]Torres £50M [emoji3591][emoji471] UCL,UEL, FA Cup.
[emoji185]Kepa £71M [emoji3591][emoji471] UEL, UCL.
[emoji185]Werner £47M [emoji3591][emoji471]UCL.
[emoji185]Bakayoko £40M [emoji3591][emoji471]FA Cup.
[emoji185]Chilwell £40M [emoji3591][emoji471]UCL.

Manchester United;
[emoji153]Di Maria £60M [emoji117] Won nothing.
[emoji153]De Pay £35M [emoji117]Won nothing.
[emoji153]Maguire £80M [emoji117]Won nothing.
[emoji153]Wan Bissaka £60M [emoji117] Won nothing.
[emoji153]Fernandez £55M [emoji117]Won nothing.
[emoji153]Lukaku £75M [emoji117]Won nothing.

Sancho and Varane to join the list. [emoji2211][emoji2211]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Mkuu utaficha wp aibu yako?

Man u ndy bingwa wa EPL 2021/22 save my comment.
 
Hapa tukimpata DM world class... Itakuwa ni mwendo wa kuinuwa kwapa this time 2021/2022.

Varane ni beki kisiki partner na magwea itakuwa so hot.
Na Sancho mshambuliaji msumbufu .
Partner na rashford au martial itakuwa hatari sn..

Save my comment.
IMG_20210802_090417_789.jpg
 
Hapa tukimpata DM world class... Itakuwa ni mwendo wa kuinuwa kwapa this time 2021/2022.

Varane ni beki kisiki partner na magwea itakuwa so hot.
Na Sancho mshambuliaji msumbufu .
Partner na rashford au martial itakuwa hatari sn..

Save my comment.View attachment 1877089
Mnatutisha na picha ..

Unafikili hizo picha ndio zinacheza ,subili season ianzee uone moto wa epl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa tukimpata DM world class... Itakuwa ni mwendo wa kuinuwa kwapa this time 2021/2022.

Varane ni beki kisiki,,
partner na magwea itakuwa so hot.
Na Sancho mshambuliaji msumbufu .
Partner na rashford au martial itakuwa hatari nzima na nusu.
Plus- el matador Cavan ,,itakuwa ni hofu tupu kwa timu pinzani zaidi ya hofu ya kuchanja chanjo ya corona.

I bet on man u this season.

Hamna lolote subiri ligi ianze[emoji23].....hii timu imewahi kuwa na Sanchez, lukaku, pogba, sijui rashford msumbufu lkn mkaishia wapi[emoji23]....cavani umri ushaenda anauwezekano mkubwa wa kupata pancha Sanaa, Sancho mtamkataa huyu[emoji23]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mnatutisha na picha ..

Unafikili hizo picha ndio zinacheza ,subili season ianzee uone moto wa epl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi kwenye eneo limechorwa alama ya danger unaweza kuingia?

Hofu yeyote inaanza na picha kwanza.

Nikumbushe comment yng mwisho wa msimu.
 
Back
Top Bottom