Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Takwimu zetu kabla ya Maguire yaani msimu wa 2019/2020 na 2020/2020 tulikuwa hatutumii kabisa set pieces kufunga magoli mpaka ujio wa Bruno ndiyo umeleta uhai kidogo.Unafikiri kwa nini Eric Ramsey (set-pieces specialist) kaajiriwa? Tulifungwa goli 14 ktk set-pieces msimu uliopita. Ni Leeds pekee ktk timu zote 20 aliyefungwa goli nyingi zaidi yetu (15). Tulifungwa magoli 44 ktk michezo 38 ya PL, 31.8% tulifungwa kwa set-ppieces. Yaani ktk kila magoli 10 tuliyofungwa, magoli 3 yalifungwa kwa uzembe ule ule. Hii sio takwimu nzuri kwa timu inayotaka kubeba makombe.
Kingine kwenye kujilinda kwenye set pieces ni Maguire pekee ambaye angalau kwenye kikosi chetu alionekana kuzicheza nyingi sana.
Fanya Review ya magoli mengi tuliyofungwa mimi nakumbuka goli la Southampton na Westham tu


Big money signings:
Kai Havertz £72M 
UCL.
Di Maria £60M
Won nothing. 