The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hawezi, mzembe sana yule beki.Nasubiri ligi ianze Lindelof hatakubali kupoteza namba kizembe hivyo lazima amtie kapuni mtu.
Hawezi, mzembe sana yule beki.Nasubiri ligi ianze Lindelof hatakubali kupoteza namba kizembe hivyo lazima amtie kapuni mtu.
Safu yetu ya ulinzi inawajibika sana ukilinganisha na maeneo mengine ya uwanjaHawezi, mzembe sana yule beki.
Ni kwa sababu pogba hakabi mkuuSafu yetu ya ulinzi inawajibika sana ukilinganisha na maeneo mengine ya uwanja
Kwa nini asichezeshwe kama DM??Nasubiri ligi ianze Lindelof hatakubali kupoteza namba kizembe hivyo lazima amtie kapuni mtu.
Next season hatubahatishi....akae benching mm mctomnay inatosha kuwa DMKwa nini asichezeshwe kama DM??
Elanga yuko makini, atafaa next seasonNext season hatubahatishi....akae benching mm mctomnay inatosha kuwa DM
Unafikiri kwa nini Eric Ramsey (set-pieces specialist) kaajiriwa? Tulifungwa goli 14 ktk set-pieces msimu uliopita. Ni Leeds pekee ktk timu zote 20 aliyefungwa goli nyingi zaidi yetu (15). Tulifungwa magoli 44 ktk michezo 38 ya PL, 31.8% tulifungwa kwa set-ppieces. Yaani ktk kila magoli 10 tuliyofungwa, magoli 3 yalifungwa kwa uzembe ule ule. Hii sio takwimu nzuri kwa timu inayotaka kubeba makombe.Mkuu msimu uliopita hatukufungwa magoli mengi ya set pieces bali tulifungwa magoli mengi ya individual mistakes tu.
Ila tuliimprove sana kwenye set pieces.
Hahaha hao wasenge roho inawauma wengi wanajua msimu huu tutakuwa wa moto sana. Tukikamilisha na kiungo wa kukaba mapema sana mwezi wa 3 tunachukua ndoo.Inakera sana, wao kila mchezaji akija Utd basi tumepigwa ila wakienda kwao wazuri.
Achana na hao wapuuzi wanaharibu vibe nzuri ya mijadala hili jukwaa letu.Fala baba yako
Naomba kuuliza, hapo mulipo pigwa, mumepigwa nini?Varane tumepigwa..
Sachonka tumepigwa..
Kwa ufupi hii timu tumepigwa.
Skieni sasa ..tunawapa bakayoko, zapacosta na Drinkwater mnatupa Pogba+ cash kama million 20£.
Hii itakuwa hesabu nzuri sana kwenu. Itakuwa ni win win situation..
Maana yake sisi Man United tumetapeliwa. Maana hizi new signed tulizoingiza ni matakataka tu mfano varane keshabeba kila kitu unadhani kuna kipya ataleta hapa??Naomba kuuliza, hapo mulipo pigwa, mumepigwa nini?
Maana kuna watu wanapigwa miti halafu hawafunguki.
Siyo Pogba tu our midfield is too nice to our opponents.Ni kwa sababu pogba hakabi mkuu
Ili iweje ?Kwa nini asichezeshwe kama DM??