Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimecheki interview ya Halaand pia amekiri Sancho kasepa tayari.
 
Simple question kabisa na mm nakujibu kirahisi sana, sababu wachezaji wenu ni magharasa
ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
 
dalili zimeshaonyesha hivyo, cha kushukuru ni kwamba tulishajiandaa kuishi bila ya huduma yake.
msimu uliopita amecheza mechi 26 za ligi kuu na kati ya hizo mechi 5 ameanzia benchi
Ila akiondoka bila kusajili replacement tutakuwa hovyo sana japokuwa Donny yupo ila kwa majeraha aliyonayo sidhani kama atakuwa fit kucheza
 
mnapokua mnawaangalia akina shaw na kuwapa sifa kede kede huku mkipita kutoa pole kwenye page za akina rashford kuwapa pole kwa kukosa penalty timu ya taifa, muwe mnamfuatilia pia amad dialo huko timu yake ya taifa, we have a pure talent. time will tell
 
Uyo dogo kuna watu wanamchukulia poa kwakuwa ni mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…