Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbu si nilisema sitakuwa nakuja huko? Kuna raia wanachukuia...nitakuwa namjibu BAK tu kama akihitaji utani wangu....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu Nzi acha hizo banaaa!!!! Mbona mie nilikutania kwamba unapenda kuwepo kwenye wa Gunners kwa sababu kwenu hakujapikwa kitu na kwetu umeona pilau la nguvu ndio maana ulikuwa unavizia vizia tupakue lakini hujanisusa banaaa!!! Mkuu unajua ushabiki/upenzi/unazi wa mpira siku hupendeza zaidi pale wapenzi wapande tofauti wakataniana na wote kupitia huo utani wakafurahi. Mie huwa nacheka sana mambo yanyoandikwa hapa na baadhi wa wapenzi wa MANU na Chelesea inapotokea Gunners wamefungwa. Hivyo mie nakuomba ujue kwamba ule ulikuwa ni utani tu kwa hiyo jisikie huru kuja kwenye jamvi letu na kuandika chochote kile kuhusu utani unaoendelea hapa wa wapenzi wa timu mbali mbali.

Nakutakia jioni njema Mkuu

Mbu si nilisema sitakuwa nakuja huko? Kuna raia wanachukuia...nitakuwa namjibu BAK tu kama akihitaji utani wangu....
 
Last edited by a moderator:
Man U 3 Arsenal 1

Copy: Wacha1

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lete habari za ARS ..... ... .... ... wazima?

Chacha mmebaki kuongelea divers, cheaters mashoga et al ... ..... .... .. hamuongelei kabumbu tena ... .... Yak!
 
Mbu si nilisema sitakuwa nakuja huko? Kuna raia wanachukuia...nitakuwa namjibu BAK tu kama akihitaji utani wangu....
Wacha uhuni chacha mie mbona umenjibu? Au ndo unafiki wenyewe kukimbilia kwa 'nyonge? Thubutu imekula kwako khe khe khe khe khe khe khe kjheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW kwa nini mabadilisha jina kutoka Inzi kwenda Nzi au unataka lisomeke kimombo zaidi?
 
Kwenye jukwaa la goons....

Umeanza kuweweseka?!?
 
Attachments

  • 9314a2cb792e992b004a8d0963f21b67.jpg
    9314a2cb792e992b004a8d0963f21b67.jpg
    40.1 KB · Views: 89
Last edited by a moderator:
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva
kwake pasi na shaka yoyote Man U
ataibuka kidedea.
 
Ushindi wa leo ni muhimu sana again Chelsea,Spurs,Everton wamepoteza point tena
 
Ushindi wa leo ni muhimu sana again Chelsea,Spurs,Everton wamepoteza point tena

Mkuu kumbuka pia Sunderland anaongoza HT sasa against City.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Man Utd XI: De Gea; Smalling, Vidic, Evans, Evra; Valencia, Jones, Carrick, Kagawa; Rooney, van Persie
 
Man Utd XI: De Gea; Smalling, Vidic, Evans, Evra; Valencia, Jones, Carrick, Kagawa; Rooney, van Persie

Dah hapa naona kabisa jamaa wanakaa.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Nimependa David kuwaanzisha Adnan na Javier bench...hawa wataingia kipindi cha pili na pengine to kill the game...

#GGMU
 
Man Utd XI: De Gea; Smalling, Vidic, Evans, Evra; Valencia, Jones, Carrick, Kagawa; Rooney, van Persie

Mkuu Belo kikosi kiko vizuri hicho, leo lazima asenale wachezee kichapo tu hakuna pa kutokea.

GGMU...
 
Back
Top Bottom