D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
hii ishu ya juan mata tulishawahi kuizungumza na PTER humu ndani, kwa ufupi man utd wana mipango naye juan mata baada ya kustahafu soka ila bado haijajulikana ni kazi gani wanataka kumpa.Mata angepitishwa hivi tu, sioni umuhimu wake, kama wazee mbona tunae Cavan anatosha kulea vijana.
tupo kwa varane, kounde anatakiwa na tottenham hotspursTetesi za Julius Conde zimeishia wapi?
Jombaa, nafasi ya golikipa #1 kwa sasa haifahamiki ni ya nani kwa Ole. Kuna tetesi za chini zinasema kuna uwezekano wa mmoja kuondoka kati Dean au David, japokuwa issue kubwa kwa David hakuna anaweza kumlipa mshahara wake na amebakiza miaka miwili. Na ndio maana Heaton kasajiiwa kama golipa #3.Baada ya De gea kuonyesha decrine,
OLE aliamua kumpa nafasi Henderson ili ajue uwezo wake.
Ndio maana Henderson kacheza mechi za EPL.
Huku de gea kacheza za Europa.
Sasa hapo sioni kosa la OLE, labda wewe ulitaka afanye nini mkuu.??
Hahahahahaaa una maanisha nini uliposema ngozi ya tako?Greenwood unambeba utaifa, na siunajua sisi ngozi ya tako thamani yetu iko chini!
I co-sign this.Ningependa jamaa (Amad) angeenda kwamkopo timu yeyote pale EPL ili apate uzoufu wa ligi.
Pogba anakuwa mzr akicheza na watu wazuri.
DM man u ni Tatizo.
Me mwenze huyu mwamba sijawahi kumuona langini hata siku moja.
Hata mwaka tulio msajili siujui, sijui tulimsajili kutoka Club gani, yani naishia kumuona mitandaoni tu.
hata shaw na maguire mlisema hivyohivyoSancho mmepigwa kweupe kabisa, yaani goli 4 hakuna ata assist moja
Uzuri ni kwamba sasa man u wameshalijuwa hilo .Hilo ndio tatizo sasa